Wanaojua utajiri wa Ridhiwani ni Dr. Slaa na mzee Mtikila tu?

tikatika

JF-Expert Member
May 6, 2011
2,330
4,114
Jana ilikuwa na kesi inayo wakabili watu wawili dr Slaa na mzee Mtikila na vyombo vya habari vilivyo ripoti kauli zao dhidi ya utajiri wa Ridhiwani .

swali kwa wana JF na wa TZ KWA ujumla, je wanaojua upolaji mali zetu na sehemu zilipo ni hao wawili tu? na kama mpo wengine mnonaje mgetutajia hapa jamvin tukajua ili tukazid kuwa sambamba na hawa wapambanaji wa mafisadi dhidi ya nchi yetu?

Taja mali hizo na sehemu zilipo. hii ni kwa wazalendo wote mafisadi piten 2.
 
kaka watanzania woooooooote ni waoga kasoro wachache kama hao uliowataja,Renatus Mkinga,KUBENEA,KIBANDA,MDEE,DR.LWAITAMA ila wengine mimi wewe na wenzangu 2naona bora kulala bila kula sehemu yenye amani na utulivu kidogo kuliko kula nyama na wali sehemu iliyokosa aman na huku 2upigania haki
 
Nashangaa umewainclude hao waganga njaa niliowahighlight kwa red colour.
 
Huyu kijana anajenga nyumba za kifahali hapo Mbezi beach opposite flat za benki kuu kwa ndani kama mita mia mbili hivi!
 
Jana ilikuwa na kesi inayo wakabili watu wawili dr Slaa na mzee Mtikila na vyombo vya habari vilivyo ripoti kauli zao dhidi ya utajiri wa Ridhiwani .
swali kwa wana JF na wa TZ KWA ujumla, je wanaojua upolaji mali zetu na sehemu zilipo ni hao wawili tu? na kama mpo wengine mnonaje mgetutajia hapa jamvin tukajua ili tukazid kuwa sambamba na hawa wapambanaji wa mafisadi dhidi ya nchi yetu?
Taja mali hizo na sehemu zilipo. hii ni kwa wazalendo wote mafisadi piten 2.

mi najua mali yake nyingine!!!!anamiliki nyumba ndogo mitaa ya upanga!!!!!
 
kaka watanzania woooooooote ni waoga kasoro wachache kama hao uliowataja,Renatus Mkinga,KUBENEA,KIBANDA,MDEE,DR.LWAITAMA ila wengine mimi wewe na wenzangu 2naona bora kulala bila kula sehemu yenye amani na utulivu kidogo kuliko kula nyama na wali sehemu iliyokosa aman na huku 2upigania haki

Lwaitama? Pyuu!! basi hata yule bansed wa Redet nae muinclude kama ndo ivo! duu!!
 
Ushahidi upo kaka subiri mtu aumbuke mahakamani, ufisadi mbaya watu Watanzania wanakufa kwa kukosa huduma muhimu shauri ya ufisadi!!!!!!! Mkulu akiulizwa anasema hajui chanzo cha Tanzania kuwa maskini ilihali mtoto wake ni billionea!!!!!
 
Huyu kijana anajenga nyumba za kifahali hapo Mbezi beach opposite flat za benki kuu kwa ndani kama mita mia mbili hivi!
Arusha ndio usiseme kaka maghorofa makubwa kibao ukiuliza ni Riz 1 wala haogopi anajenga tuu bwelele !!!!!!!!

Huyo Slaa na Mtikila stress za uzee zinawachanganya. Huwa ni waropokaji wakubwa.
 
Unamaanisha wanyamaze kimya ili wasiitwe waropokaji? Kama ndivyo unavyomaanisha je freedom of express utakuwa umeiweka wapi? Kwa mawazo yako hizo rasilimali za nchi zinazo fujwa na huyo bwana mdogo (boss wako) wewe unaona ni sawa tu? Tumwombe Mungu wajinga wawe wachache na waerevu waongezeke!!!
 
1.Mikocheni ana ghorofa la kufa mtu(Watu wa mikocheni njia panda ya coca wanajua)
2.Iringa ana miliki machimbo ya mawe,crushers na anamiliki maeneo ya mchanga,tenda zote za serikali za ujenzi yeye ndo anachukua
3.Nenda Pale Sinza mori(Big bon na nyuma kuna bonge la ghorofa linajengwa uliza la nani? Utaambiwa)
4.Iringa Town kuna Jengo kali la Vioo tupu,uliza la nani utaambiwa
5.Lake oil(ana hisa ASAS)
6.Viwanja vya miradi hivi vya serikali ndo usisema,havina hata idadi(nazani wote mnajua)
7.Magomeni makuti ana mjengo(ghorofa la) wa kufa mtu,karibia na dada yake kikwete
8.Semitrailer za kusafirisha mizigo(kila mtu anajua)
9.Apartments mbezi na arusha
10.Kwa riz1 we nenda tu na proposal nzuri hizi 100m au 300m kwake swala dogo

Nawasilisha
 
mkuu unataka tukupe ushahidi wakwenda kutoa mahakamani? kwani wakati mkisema hamkuwa na ushahidi wakuaminika na wakutosha?
 
Tatizo ni uwezo wako wa kufikiri na sio wewe!
yaani unajificha kwa kiganja chako usionekane kama ni binadamu?
lakn ngoja nikuache hata jambazi au muuaji hakosi wakili!
 
Back
Top Bottom