Mnisaidie natafuta kioo cha Simu Nokia N82.

Eraldius

JF-Expert Member
Jun 17, 2011
1,120
906
Kwa sasa niko Mwanza natafuta kioo original cha Simu ya NOKIA N82.Pls mnisaidie.
 
Ok,let me talk to my young bro ambaye kwa sasa yuko moshi pale Muccobs.
 
Kwa sasa niko Mwanza natafuta kioo original cha Simu ya NOKIA N82.Pls mnisaidie.

Naona jamaa wanakuzingua tu,hawajui Mwanza jiji kilakitu kinapatikana? Halaf kama mtu hana msaada si akae kimya? Ndg yangu ngoja mi nikusaidie! Nenda pale pambaroad kwenye kile kibarabara cha sokoni ambapo siku hizi jioni napo ni soko, upande wa kulia kuna maduka mengi tu. Upande huo unaona lile ghorofa la njano la Vickfish ambalo liko Nyerere road. Sasa wewe ukiwa kwenye hicho kibarabara cha wauza samaki ingia kulia ita tageti ufikie hilo jengo la vicfish la njano.Lengo kuu nakuelekeza uende kwenye duka la Sam's phone clinic. Kama utafika maeneo hayo bado hujaliona duka,basi ulizia mtu yeyote atakuelekeza au hasa uliza fundi simu yoyote atakuonesha. Ukifanikiwa au ukishindwa naomba unijulishe.
 
Naona jamaa wanakuzingua tu,hawajui Mwanza jiji kilakitu kinapatikana? Halaf kama mtu hana msaada si akae kimya? Ndg yangu ngoja mi nikusaidie! Nenda pale pambaroad kwenye kile kibarabara cha sokoni ambapo siku hizi jioni napo ni soko, upande wa kulia kuna maduka mengi tu. Upande huo unaona lile ghorofa la njano la Vickfish ambalo liko Nyerere road. Sasa wewe ukiwa kwenye hicho kibarabara cha wauza samaki ingia kulia ita tageti ufikie hilo jengo la vicfish la njano.Lengo kuu nakuelekeza uende kwenye duka la Sam's phone clinic. Kama utafika maeneo hayo bado hujaliona duka,basi ulizia mtu yeyote atakuelekeza au hasa uliza fundi simu yoyote atakuonesha. Ukifanikiwa au ukishindwa naomba unijulishe crap
 
Poa jaji ngoja nifanye hivyo.Lakini Sam's clinic nilikuta wanavyo vy kichina .
 
Naona jamaa wanakuzingua tu,hawajui Mwanza jiji kilakitu kinapatikana? Halaf kama mtu hana msaada si akae kimya? Ndg yangu ngoja mi nikusaidie! Nenda pale pambaroad kwenye kile kibarabara cha sokoni ambapo siku hizi jioni napo ni soko, upande wa kulia kuna maduka mengi tu. Upande huo unaona lile ghorofa la njano la Vickfish ambalo liko Nyerere road. Sasa wewe ukiwa kwenye hicho kibarabara cha wauza samaki ingia kulia ita tageti ufikie hilo jengo la vicfish la njano.Lengo kuu nakuelekeza uende kwenye duka la Sam's phone clinic. Kama utafika maeneo hayo bado hujaliona duka,basi ulizia mtu yeyote atakuelekeza au hasa uliza fundi simu yoyote atakuonesha. Ukifanikiwa au ukishindwa naomba unijulishe crap

We Nyangi! Unacopy halaf unaedit! Kwel we hamnazo! Akili yako haiwezi kufikiri?
 
Back
Top Bottom