wakuu angalieni kile kipindi knaendelea sasa hivi startv

figganigga

JF-Expert Member
Oct 17, 2010
25,492
54,890
Kile kipindi kinacho onyesha maisha halisi ya mtanzania ndo kinaendelea sasa hivi startv. hiki kipindi mi naona kinamuumbua Rais wetu kikwete sababu ni tofauti na miaka hamsini ya TUMETHUBUTU, TUMEWEZA NA...sijui nini. angalia mwenyewe halafu baadae tujadili ulichokiona. naomba ccm nao waangalie wanachojivunia. Mia
 
hiki kipindi kitakuwa na mkono wa mtu. hizi ni siasa za chadema kuiharibia ccm kanda ya ziwa na sehemu zote startv inapo onekana. Nyie startv mnachonganisha serikali na watu wake. mnafanya watu wakose imani na serikali yao. hiki kipindi kifungiwe.
 
Back
Top Bottom