Ajali ghali kuliko zote

Ajali ghali kuliko zote

simplemind

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2009
Posts
16,798
Reaction score
9,736
Ajali imetokea Japan na imehusisha magari 8 aina ya Ferrasis,3 aina ya Mercedes Benz na Lomborgini moja. Magari yote haya ni ya bei mbaya ,hasara inakadiriwa kufikia $ 3.85 milioni. Source BBC.
 
Back
Top Bottom