figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,492
- 54,895
Ule mpambano wa kukata na shoka uliokuwa unazikutanisha timu mbili kati ya simba ya Tanzania na Asante kotoko ya Ghana umemalizika ambapo simba wamaefanyiziwa tena.
Kipindi cha kwanza kimeisha bila timu kufungwa. lakini kipindi cha pili kimeanza kila timu ikionyesha cheche zake lakini dakika ya 73 mchezaji wa asante kotoko MICHAEL ANABA ameweza kupatia timu yake goli. hadi mpira unaisha;
SIMBA 0 - 1 KOTOKO.
simba wamejitetea kwamba walichezesha kikosi cha pili Ndo maana wakafungwa. MIA