Duble Chris
JF-Expert Member
- May 28, 2011
- 3,481
- 564
Hi JF members
Jana tulikuwa tukiadhimisha miaka 50 ya uhuru wa Tanganyika kwa mtazamo wangu kupitia Star TV Sherehe hizi
Vipi mkoani kwako tathamini ikoje ? .....Zilifana au Zilidoda
Jana tulikuwa tukiadhimisha miaka 50 ya uhuru wa Tanganyika kwa mtazamo wangu kupitia Star TV Sherehe hizi
- Mwanza - zilidoda watu wachache walijitokeza uwanjani
- Tabora - zilifana sana - maandalizi yalikuwa mazuri wazee wenye kumbukumbu walialikwa
- Dar - Ndiko kiini sherehe zilifana sana kwenye shamba la bibi
- Arusha - kuna tetesi kuwa zilidoda
Vipi mkoani kwako tathamini ikoje ? .....Zilifana au Zilidoda