Hali mbaya ya uchumi wa tanzania | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hali mbaya ya uchumi wa tanzania

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by regam, Dec 11, 2011.

 1. regam

  regam JF-Expert Member

  #1
  Dec 11, 2011
  Joined: Jan 4, 2011
  Messages: 268
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Katika hoyuba yake kwenye maadhimisho ya miaka 50 ya uhuru (wa Tanganyika au Tanzania) Raisi Dr Dr Kikwete ameendelea kulalamika ya kuwa hali mbaya ya uchumi wa Tanzania inatokana na misingi mibovu tuliyoachiwa na wakoloni.
  Jamani hivi hii imekaaje? (Tujadili)
   
 2. L

  LIZAPIA Member

  #2
  Dec 11, 2011
  Joined: Dec 10, 2011
  Messages: 60
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  jk huna timamu anasema misingi mibaya ulioachiwa na wakoloni kwani uhuru tumepata lini...??...now 50 yr imepita bado tu nchi ujaijenga...kisa wakoloni...pumbavuuuuuuu since nyerere>mwinyi>mkapa..now ni wewe...bado tu unalaummu wakoloni...wewe ndio umeharibu nchi na undugunaizacheni....
   
 3. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #3
  Dec 11, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  rip Tanganyika and tanzania...
   
 4. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #4
  Dec 11, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,339
  Likes Received: 19,519
  Trophy Points: 280
  kilaza huyu sijui alifikaje fikaje madarakani huyu ....
   
 5. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #5
  Dec 11, 2011
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,297
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Kumbuka ni mtaalamu wa political economy!
  50 years you are still blaming the past!
   
 6. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #6
  Dec 11, 2011
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,323
  Likes Received: 1,788
  Trophy Points: 280
  Hivi tutaacha lini kusingizia watu wengine juu ya matatizo yetu. Matatizo yetu yanasababishwa kwa kiasi kikubwa na uamuzi wetu wa kujaribu kuupiga vita umaskini kwa kutegemea misaada ya wahisani, iliyojaa masharti mengi yasiyo na tija! Kwanini tulizika philosophy ya Kujenga uchumi kwa kujitegemea?
  Jamani vichwa tunavyo imefika wakati tuvitumie kutafuta njia ya kujikwamua na matatizo yetu. Wathungu hawatatusaidia kwa lolote. Na ni upumbavu kuendelea kufikiri kwamba suluhu ya matatizo yetu italetwa na wathungu
   
Loading...