Hizi ajali zitatumaliza!

Jaguar

JF-Expert Member
Mar 6, 2011
3,438
1,026
Watu wanne wamepoteza maisha papo hapo baada ya taxi kuvaana uso kwa uso na lori maeneo ya kinyanambo,mafinga mkoani iringa.Ajali imetokea baada ya taxi kujaribu kumkwepa mwenda kwa baiskeli na hatimaye kulivaa lori.R.I.P Kwa wale waliopoteza maisha.Source:Ebony Fm.
 
Dereva taxi hakuwa makini kwenye uendeshaji, kama kulikuwa hakuna uwezekano wa kumkwepa mwenda kwa baiskeli alitakiwa amvae, ni bora apoteze maisha ya mmoja kuliko zaidi ya mmoja.
 
Mkuu sio rahisi kufikia maamuzi hayo. Anyway mwendesha baiskeli aligongwa ila hakufariki. Idadi ya waliotutoka ni watano
 
Dah, kila siku Jamani???? Inatosha sasa wananchi tuamke dhidi ya hawa madereva wazembe wanaocheza na roho zetu...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom