je ulishawahi kuitiwa mwizi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

je ulishawahi kuitiwa mwizi

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by libent, Dec 11, 2011.

 1. libent

  libent JF-Expert Member

  #1
  Dec 11, 2011
  Joined: Oct 29, 2011
  Messages: 385
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  leo nimeshuhudia jamaa amekoswa kidogo kuwekwa kwenye tairi baada ya kuitiwa kelele za mwizi. Huyu jamaa alikuja kwa jirani yetu kudai pesa yake aliyokuwa anamdai huyo kibosile ambaye kwa sasa anaonekana kufulia sasa baada ya mabishano makali ndipo yule kibosile akaanza kuita mwizi!mwizi, ikabidi sisi tumtetee yule kijana maana alikuwa tayari ameshapagawa hajui la kufanya. Je wewe kelele hii ilishawahi kukufika?. Nashut down
   
 2. Mzee wa Rula

  Mzee wa Rula JF-Expert Member

  #2
  Dec 11, 2011
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 8,177
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Una Shut Down basi mimi na Restart tehe tehe tehe tehe tehe.
   
 3. Mzee wa Rula

  Mzee wa Rula JF-Expert Member

  #3
  Dec 11, 2011
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 8,177
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Kufulia si mchezo, unaweza kumuuza hata mkeo!!!!!!
   
 4. Waberoya

  Waberoya Platinum Member

  #4
  Dec 11, 2011
  Joined: Aug 3, 2008
  Messages: 11,600
  Likes Received: 3,893
  Trophy Points: 280
  libent hakuna kitu hatari kama kuitwa mwizi na ukashuhudia watu wanaokota mawe, fimbo, chupa...huku kwa mbali unaona wanaleta mafuta na kiberiti n.k

  Jamii ya wasomi, waandishi wa habari, na watanzania wengine wengi kwa nafasi zao...tumeruhusu kila aina ya wtu kuitwa wezi wezi wezi.....we are done!

  what are we??
   
Loading...