Katika katiba mpya. Sheria inasemaje kuhusu haya ma mikataba ya ma miaka 100 -400? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Katika katiba mpya. Sheria inasemaje kuhusu haya ma mikataba ya ma miaka 100 -400?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Slave, Dec 11, 2011.

 1. Slave

  Slave JF-Expert Member

  #1
  Dec 11, 2011
  Joined: Dec 6, 2010
  Messages: 5,223
  Likes Received: 616
  Trophy Points: 280
  Nchi hii wajanja wengi. Niliwahi kusikia lile jengo la airtel walifunga mkataba na mwenye kiwanja,mkataba wa miaka zaidi ya mia moja.migodi ya dhahabu miaka 80-100 au jamani nchi ndo inauzwa nusu nusu hivyo? Maana miaka yote hiyo +ugumu wa maisha hata mtoto atakae zaliwa leo atakufa kabla mkataba haujaisha.napata mashaka nchi imeuzwa maana kipindi cha mradi wa maji ya ziwa victoria kuna nchi ilijitokeza kupiga mkwala kwamba hawaruhiwi kutoa maji na kupeleka popote bila idhini yao.kwamba ziwa ni mali yao halali walinunua zamani toka kwa mwingereza.wakuu nisaidieni wale mlio kwisha iona rasimu.maana mikataba ya namna hii ni sawa na kuuza.
   
 2. mysteryman

  mysteryman JF-Expert Member

  #2
  Dec 11, 2011
  Joined: Aug 4, 2011
  Messages: 986
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Mi mwenyewe huwa nashangaa sana kwanini mikataba iwe miaka mingi kiasi hicho?? Hii nji bana
   
 3. Slave

  Slave JF-Expert Member

  #3
  Dec 11, 2011
  Joined: Dec 6, 2010
  Messages: 5,223
  Likes Received: 616
  Trophy Points: 280
  unadhani nini kifanyike.
   
Loading...