Anaewaza Kuifia TANZANIA karne hii Akapimwe AKILI

zubedayo_mchuzi

JF-Expert Member
Sep 2, 2011
4,873
1,216
Wale wote wenye Mawazo finyu ya kujiona wao wana uchungu na nchi hi mpaka kuwaza kuifia ni wazi mtindio wao utakuwa umekaa vibaya.
Waliopewa dhamana na wananchi ya kuilinda,kuitetea kwa hali na mali wao ndo wa kwanza kujilimbikizia Mali,kujilipa Posho kubwa,kuiba Rasmali za nchi hii.
Wenye nafasi ya kuonyesha kuwa nchi hii,inalindwa wao ndo kwanza kuacha majukumu hayo,

Hawa wabunge wanaosema maisha yamepanda dodoma,mbona wakazi,wafanyakazi wa taasisi zote hawajatoa tamko la kutaka Mishahara yao ipande ili kwenda sambamba na Ukuaji wa Maisha wanayo yasema.
Mwenye kuifia TANZANIA ALISHAONDOKA .
 
Wa kwanza nahisi ni mimi hebu njo unipeleke hospitalini nikapimwe akili.
 
Wa kwanza nahisi ni mimi hebu njo unipeleke hospitalini nikapimwe akili.

Sidhani kama juu ya dunia hii kama kuna daktari ama hospital inaweza kutibu ugonjwa wako, labda chakukushauri ukae karibia na kaburi maana muda wowote hatunae
 
Inaitwa Tz ikiwa na winga wake machachari ccm aka mafisadi aka magamba
 
dada kufia tz inawezekana lakini sio toka moyoni ni unafiki na uzandiki ndio umewajaa watz wengi RIP Tanzania na tanganyika..
 
Back
Top Bottom