Wapi watajifichaMAFISADI?MIAKA 50 TAYARI ISHAPITA.. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wapi watajifichaMAFISADI?MIAKA 50 TAYARI ISHAPITA..

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by tizo1, Dec 11, 2011.

 1. t

  tizo1 JF-Expert Member

  #1
  Dec 11, 2011
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 857
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 45
  Toka mwaka uanze kumekuwa hakuna mada ya kujadili zaid ya miaka 50 ya uhuru.Sasa ishapita wapi watajificha mafisadi?Sasa kutakuwa hakuna mada zaidi ya kuwajadili wao tu....Labda walete jambo jipya litakalosababisha tuwasahau na kujadili jambo watakalolibuni.
   
 2. Azimio Jipya

  Azimio Jipya JF-Expert Member

  #2
  Dec 11, 2011
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 3,370
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Karibuni nyote!
   
 3. Azimio Jipya

  Azimio Jipya JF-Expert Member

  #3
  Dec 11, 2011
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 3,370
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Kuwajadili mafisadi sio isu! Wakamatwe wote ... wapakizwe kwenye huo mdude kwenye avata yangu .... tukawahamishie kwenye sayari ya nyingine! ...Dunia hii sio ya mafisadi!!!
   
Loading...