Hivi ni mambo haya ni Tz tu?

Mfwalamanyambi

JF-Expert Member
Dec 18, 2010
433
102
Unanunua gazeti la Nipashe. Unasoma habari muhimu zilizokuvutia kulinunua gazeti, halafu unaendelea kwenye matangazo mbalimbali. Unakutana na tangazo hili ''NZOGANILWA: Ni dawa ya mvuto, kupandishwa cheo, kutafuta kazi, kurudishwa kazini, kushinda kesi, kumvuta mchumba, kuvuta wateja kwenye biashara, nk.'' Hivi mambo haya ni Tz tu au hata nchi nyingine yapo?.
 
Back
Top Bottom