Tukualiane, bila kubadili sheria ya ubunge tutaendelea kushibisha majambazi kwa kisingizio cha kutuw | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tukualiane, bila kubadili sheria ya ubunge tutaendelea kushibisha majambazi kwa kisingizio cha kutuw

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by mpayukaji, Dec 14, 2011.

 1. mpayukaji

  mpayukaji JF-Expert Member

  #1
  Dec 14, 2011
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 943
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Taarifa zinazozidi kukoroga vichwa vya wabunge na wananchi za wabunge kuongezewa mshiko ni ushahidi kuwa hatuna wabunge bali wasasi ngawira. Tumeambiwa kuwa mapato ya mbunge kwa mwezi ni sawa na mshahara wa mwalimu wa shule ya msingi wa miaka mitatu na mshahara wa mwaka wa daktari. Je kwa uhovyo huu, kwanini tusiachane na dhana ya kuwa na wawakilishi wanaowakilisha matumbo yao na badala yake tuwe na wawakilishi wanaoweza kutimuliwa na waajiri wao yaani wananchi wakati wowote wakijisikia kufanya hivyo badala ya hawa wezi tunaopandikiziwa na vyama vya siasa.
   
Loading...