Bodi ya mikopo madikteta? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Bodi ya mikopo madikteta?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Nsabhi, Dec 13, 2011.

 1. Nsabhi

  Nsabhi JF-Expert Member

  #1
  Dec 13, 2011
  Joined: Feb 23, 2011
  Messages: 1,096
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Ndugu wa JF naomba kuuliza je tangu lini bodi ya mikopokwa wanafunzi wa elimu ya juu yaan (HESLB) wameanza udikteta? Maana nimepokea barua inayoamrisha kuwa kuanzia mwezi December naanza kukatwa asilimia nane 8% ya basic salary yangu wakati mkataba nilioingia na bodi hapo mwanzo unaeleza kuwa mkopo huo nitaulipa ndani ya kipindi cha miaka kumi tangu nimalize masomo. Nimeanza kulipa deni langu mara tu baada ya kumaliza masomo yangu. Cha ajabu bodi imeamua kupitisha maamuzi ya kuvunja mkataba wa awali kinyemela bila kuwashirikisha wadau ambao ni loan beneficiaries tena kwa ghafla! Je huu si udikteta?
  WanaJF hebu nipeni ushauri kuhusu suala hili.
   
 2. Mrimi

  Mrimi JF-Expert Member

  #2
  Dec 13, 2011
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 1,673
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  Kama ni issue ya mkataba, naona wameanza kukukata ndani ya miaka kumi uliyosema. Kwani hiyo miaka kumi inaanza kuhesabiwa wapi, si ni kuanzia ulipopata ajira au ni baada ya kupata ajira? Ni kama sijakuelewa vile.

  Kwa upande mwingine mimi naona sio shida sana mradi tu maisha yanakwenda. Unajua huo ni mkopo ndugu yangu. Ni lazima utakujaulipa tu hata kama itapita miaka kumi, Mimi naona the earlier the best ili umalizane nao uanze kufanya mambo yako kwa uhuru.

  Mwisho, unajua hata waliopo vyuoni wanahangaishwa sana na boom. Mimi naona kama kuna uwezekano wa kuwalipa ni vizuri ili tuendelee kuwachangia changia wadogo zetu wanaoendelea na masomo.

  Au sio mkuu?
   
 3. C

  CHIPANJE JF-Expert Member

  #3
  Dec 14, 2011
  Joined: May 1, 2011
  Messages: 313
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Nadhani kuna issue ya misunderstanding kidogo ya mtoa mada na mchangiaji,anyway vyovyote vile umetoa mawazo yenye kumtaka kuwajal walioko vyuoni.

  Kuna lidubwana moja ivi pale anaitwa Fenesi,nadhan nimekosea jina palepale HELSB,ni muovyo sana!
   
Loading...