Kwanini wao tu? Au wanazigezo?

Ziroseventytwo

JF-Expert Member
Mar 27, 2011
7,961
13,589
Kwa nchi kama Marekani,uingereza,German nk mambo hayo hayapo. Na kama yapo ni kwa uchache sana. Waziri mmoja kutumika kwenye serekali zaidi ya moja? Mfano bi Madeline Albright, waziri wa mambo ya nje wa marekani enzi za Bill Clinton awepo kwenye serekali ya rais Bush,na rais Obama! Hata kama ni wizara tofauti! Hali kadhalika mawazi wengine vivyo hivyo,? Hapa kwetu kuna watu wametumiwa na serekali tangu Mwalim mpaka JK. Basil Mramba ametumiwa na serekali tangu Mwalimu hadi JK. Wawaziri walitumikia serekali zaidi ya moja ni pamoja na JK,Lowassa,Juma Kapuya, Zakia Megji,Sarungi nk. Orodha ni ndefu. Nini vigezo vya kuwa waziri ukiacha mtu kuwa mbunge.? Nawasilisha!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom