'wabeijing'wakamatwa kwa kumiliki mashamba ya Bhangi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

'wabeijing'wakamatwa kwa kumiliki mashamba ya Bhangi

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Bajabiri, Dec 14, 2011.

 1. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #1
  Dec 14, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 0
  Wanawake wawili wakaz wa wilaya ya Tarime wamekamatwa na kufikishwa mahakaman kwa kosa la kulima na kumiliki EKARI 4 za zao haramu la bangi,wanawake hao ni Maria Magaigwa(45) na Maximillian Chacha(35) walifikishwa mahakaman dec 11.
  Sosi:HABARI LEO LA LEO
   
Loading...