Mkuchika- umeme umenifanyisha zoezi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mkuchika- umeme umenifanyisha zoezi

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by gervase, Dec 14, 2011.

 1. g

  gervase Member

  #1
  Dec 14, 2011
  Joined: Jan 23, 2011
  Messages: 41
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Tupo ktk mkutano wa wakuu wa shule za sekondari Tanzania, Arusha. Umeme umekatika, waziri mkuchika amesimama dakika 10 jukwaani akisubiri umeme. Wamewasha generata sasa anaendelea. Amesema "umeme umenipa fursa ya kufanya zoezi la kusema". Nawasilisha.
   
 2. Ulukolokwitanga

  Ulukolokwitanga JF-Expert Member

  #2
  Dec 14, 2011
  Joined: Sep 18, 2010
  Messages: 8,418
  Likes Received: 3,905
  Trophy Points: 280
  Yani yeye kusema tu ameona bonge la ishuu, kudadeki kulewa madaraka ni kubaya. Vipi wale ambao umeme usipowaka hawaingizi kitu na baadaye hawali, mfano wenye kazi za welding, salon and the likes...
   
Loading...