Mh, Pinda kweli?? uliliwaza hili au limekutoka??utu uzima?!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mh, Pinda kweli?? uliliwaza hili au limekutoka??utu uzima?!!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by KakaKiiza, Dec 13, 2011.

 1. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #1
  Dec 13, 2011
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,548
  Likes Received: 2,273
  Trophy Points: 280
  Mh,Waziri mkuu kwa hili umenikatisha tamaa na leo sitaenda kazini baada ya wewe jana kusema Maendeleo ya viwanda yatakuja baada ya miaka 50!!!!!!??????
  Kwa maana serikali yako hivyo ndivyo imejiwekea malengo baada ya mika 50 ndo kutakuwepo na viwanda hapa Tanzania ukiwa una maana tutakuwa tuna sherekea miaka mia ya Uhuru!!!Jubilee!
  Kweli CCM mumetufikisha tulipokuwa hatutarajii kwenye umasikini wa mawazo!!!
   
 2. mysteryman

  mysteryman JF-Expert Member

  #2
  Dec 13, 2011
  Joined: Aug 4, 2011
  Messages: 986
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Wakati mwingine huwa na kuwa na mashaka sana na huyu pm wetu cjui kwa nini....
   
 3. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #3
  Dec 13, 2011
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,548
  Likes Received: 2,273
  Trophy Points: 280
  Eti katika miaka 50 ijayo Tanzania ndo itakuwa naviwanda!!kucheka nashindwa kulia siwezi namwachia mungu!!!
   
 4. M

  Maga JF-Expert Member

  #4
  Dec 13, 2011
  Joined: Nov 11, 2010
  Messages: 325
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  Kauli yake ni ya ukweli, hivi wewe unategemea kwa serikali ya ccm utapata nchi ya viwanda kweli? Pinda amekuwa mkweli kuwa ccm haina uwezo wa kuleta maendeleo ya viwanda labda baada ya miaka 50 mimi nampongeza kwa kuwa mkweli kuliko yule ndugu yetu ngeleja anayetudanganya kila siku kuwa tatizo la umeme litakwisha karibuni wakati linaongezeka kila kukicha
   
 5. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #5
  Dec 13, 2011
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,548
  Likes Received: 2,273
  Trophy Points: 280
  Ahaaa kweli jamaa mzima kwa uongo dah ni hatari!!
   
 6. MANI

  MANI Platinum Member

  #6
  Dec 13, 2011
  Joined: Feb 22, 2010
  Messages: 6,412
  Likes Received: 1,871
  Trophy Points: 280
  Na kama jana ulimsikia Zitto akihojiwa na Mlimani tv alisema tatizo la umeme huenda likawa kubwa kwa kuwa gharama za kununua mafuta zimeongezeka mara mbili.
   
 7. kichomi

  kichomi JF-Expert Member

  #7
  Dec 13, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 511
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Du yaani baada ya miaka 50?si tutakuwa tushakufa jamani?
   
 8. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #8
  Dec 13, 2011
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,548
  Likes Received: 2,273
  Trophy Points: 280
  Hapana utakuwepo hata yeye atasimamia utendaji!!!!
   
 9. H

  HAOMAR Member

  #9
  Dec 14, 2011
  Joined: Nov 30, 2011
  Messages: 16
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Yahe kumbe hadi leo munalia umeme dah!! Poleni sana na mitihani iliyowafika watamzania musija iko sikuyataisha
   
 10. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #10
  Dec 14, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  labda alimeza dawa zikamuathiri matamshi e.g. phernegan
   
 11. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #11
  Dec 14, 2011
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 34,607
  Likes Received: 6,197
  Trophy Points: 280
  Uzuri/ ubaya wa Pinda ni kwamba yeye si mwanasiasa. Sasa mara nyingine anakuwa anasema ukweli ambao hautakiwi kusikika unakuwa kama Freudian slip.

  Tukicheza hata hiyo miaka 50 tunaweza tusifikie mapinduzi ya viwanda, na by the time tunafikia uwezo wa kuwa na viwanda wenzetu wanahama sayari na waliobaki wanapiga marufuku viwanda kutokana na pollution/ global warming.
   
 12. D

  DAR si LAMU JF-Expert Member

  #12
  Dec 14, 2011
  Joined: Mar 31, 2007
  Messages: 2,942
  Likes Received: 286
  Trophy Points: 180
  ...Kama hatutakuwa na maendeleo ya maana katika viwanda ndani ya miaka kumi, we will have a civil disorder instead. A real big one, for sure. Maybe, even a civil war.

  ...We should ask ourselves, how are all these work-less and then illiterate people going to get food for themselves and their families?
   
 13. mgen

  mgen JF-Expert Member

  #13
  Dec 14, 2011
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 15,193
  Likes Received: 1,914
  Trophy Points: 280
  Wakati huo wenzetu wataishi outespace! ooh mzazi wangu Tanganyika! Fufuka uwarudi!
   
Loading...