Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Ingawa kuvuliwa uanachama kwa mbunge wa zamani wa Kigoma Kusini NCCR-Mageuzi, David Kafulila si haki, kulitarajiwa kutokana na tabia ya mhusika. Kafulila alipoingia kwenye siasa za upinzani...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
WAISLAMU nchini wametakiwa kujitokeza na kuunga mkono uchangiaji wa shughuli mbalimbali za maendeleo hususan elimu, ili kujikwamua na lindi la umaskini. Wito huo ulitolewa juzi na Mbunge wa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
mimi najiuliza ila sipati majibu inakuwaje kila mbunge anayeulizwa kuhusu swala kupanda kwa posho zao hawajibu straight wanabakia kukwepa tu mfano Hamadi Rashid anaulizwa kuhusu msimamo wake...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Mara nyingi vyombo mbalimbali vya habari vimekuwa vikitegemea kupata habari kutoka hapa JF na kwa lugha nyingine wamekuwa wakifanya biashara ya kuuza habari ambayo tunazileta hapa bila idhini ya...
5 Reactions
31 Replies
4K Views
Inasikitisha pale rais wetu mpenda jk anapozdi kuwakumbatia na kuwapa nyazifa viongoz waliomwagwa na kukataliwa na wana nch katika mchakato wa uchaguz 2010. Mfano Kamala aliyekua mbungd wa...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Rais Jakaya Kikwete, akiteta jambo na Rais Yoweri Museveni wa Uganda huku Katibu Mtendaji wa Kamati ya Kimataifa ya Nchi za Maziwa Makuu (ICGLR) anayemaliza muda wake, Balozi Liberata Mulamula...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Naomba kuwauliza wana usalama wa Ikulu,na washauri wa ikulu je mnajali usalama wa wageni na viongozi mashuhuri?Je usalama mnaozingatia ni wa kulinda mageti na kukagua kila mmoja aingiapo?Je mlisha...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Hii ishu nliickia kupitia bbc swhl then nikaiona aljazeera na cnn!Ilitokea pande za kenya baada ya simba jke kuonekana na mtoto wa swala bila kumtafuna huku akiwafukuza simba wengine...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Inatia hofu kweli kwa habari zilizotolewa na vyombo vya habari juma hili toka ktk taasisi ya elimu ya chini na elimu ya juu hapa Tz. 1. Elimu ya chini; Kuna vituo vilivyofungiwa kufanya mitihani...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Leo nimeshuhudia kitu ambacho kwa miaka mingi nilikuwa nasimuliwa tu. Mbunge wa jimbo la Tunduru kusini-Eng. Ramo Makani(CCM) ambaye alikuwa "mwenyekiti kamati ya Jairo" anafanya mkutano wake...
2 Reactions
27 Replies
4K Views
  • Closed
KWA WENYE NIA YA KUCHANGIA TV IMAAN KUPITIA MABENKI....................... TV IMAAN BANK ACCOUNTS: AMANA BANK LTD ACCOUNT NUMBER : 001110001660001 TSHILLINGS. KCB (T) LTD BANK ACCOUNT NUMBER...
0 Reactions
37 Replies
4K Views
Leo nimeona kwenye habari wenzetu wenye ulemavu wa ngozi wakitangaza mkakati wa kuzunguka nchi nzima kupambana na imani hiyo potofu. Lakini nikakumbuka hapo nyuma watu walishapiga kura ya maoni...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
ILI kuonesha kwamba lazima zile nchi za Afrika zinazogoma kukubali kutambua ushoga kisheria zinatii amri hiyo, nchi ya Marekani na washirikika wake zimeamua kutumia kila njia kuhakikisha...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wiki hii haikuwa njama kwa wapinzani na wafuasi wa vyama vya upinzani ambao wanataka magezui nchini Tanzania kwani walisikia habari za malumbano makubwa ndani ya Chama cha Wananchi CUF, huku Hamad...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ama kweli ukistaajabu ya Musa....kwa mara ya kwanza nilistuka na kujiuliza sana baada ya kuona msafara wa ais JK ukiambatana ambulance....majuzi nikiwa Kampala kwenye ICGLR nilishangaa zaidi baada...
1 Reactions
23 Replies
5K Views
nawatakia jumapili njema na safari njema kwa wote wanaoanza kuondoka kesho kuelekea Moshi na kwingineko kuweza pata sensa kamili ya wangapi walioko dar tuweze kuwaita siku za Harambee za vijiji...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Rais wa Zanzibar, Dk. Ali Mohammed Shein Rais wa Zanzibar, Dk. Ali Mohammed Shein, amesema serikali inapenda kuona sheria inachukua mkondo kwa kushughulikia uhalifu wa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Soma habarileo /mwananchi magari na mitambo kadhaa itumiayo petrol iko hatarini kuharibika pale taarifa za kuingizwa kwa tani zaidi ya 30,000 za mafuta machafu habari zenye uhakika zinasema...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Mwenye factual info au tetesi naomba anijuze! karibuni
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Kongamano kwa wakaazi wa Dar es Salaam na walio karibu,kutakuwa na kongamano la kuchangia TVI jumapili tarehe 18/12/2011 UWANJA WA TAIFA,saa mbili asubuh mpaka 12 jion ni bure waumin na...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…