TANESCO mna tuumiza | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

TANESCO mna tuumiza

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Nyamburi, Dec 22, 2011.

 1. Nyamburi

  Nyamburi JF-Expert Member

  #1
  Dec 22, 2011
  Joined: Oct 28, 2011
  Messages: 306
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Kwa kweli shirika la umeme Tanzania (Tanesco) sisi wateja wenu tunashindwa kuwaelewa kabisa,kwani badala ya huduma zenu kuboroke siku baada ya siku zimekua ndio zinazidi kudorora na kufifia kabisa na kupelekea usumbufu mkubwa kwa wateja wake,tunashindwa kuwaelewa tatizo lenu liko wapi,ni uongozi mbovu au nini,mfano mzuri wa kazi wa maeneo mengi ya jiji kama Mabibo na ubungo hawana umeme siku ya pili leo,na hakuna taarifa wala tamko lolote toka kwa shirika ilo husika!cha kushangaza mnakimbilia Ewura kuomba mpandishe bei ya umeme kwa 150%,kwa huduma zipi mnazotoa?kwa kweli mnakera na kutuumiza sana sisi wananchi
   
 2. u

  utantambua JF-Expert Member

  #2
  Dec 22, 2011
  Joined: Aug 1, 2011
  Messages: 1,373
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Huoni mvua hizi mkuu? Mpewe umeme ili watoto zenu wafe kwa shoti? Acha waboreshe miundombinu iliyoathiriwa na mafuriko kwanza ndio wawapitie umeme ulio salama. Kwa hili watake radhi.
   
 3. Nyamburi

  Nyamburi JF-Expert Member

  #3
  Dec 22, 2011
  Joined: Oct 28, 2011
  Messages: 306
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Nakubaliana nawe mkuu,ila shirika linatakiwa lijiimarishe sana kwa miundombinu yake,maana mvua hata kidogo tu ikinyesha umeme uwa unazimwa,sizungumzii hii ya juzi,ila ni huko nyuma!kwa hii ya juzi kweli nitaungana nawe kuwataka radhi!hata hivyo inabidi waimarishe miundombinu yao sana!
   
 4. feis buku

  feis buku JF-Expert Member

  #4
  Dec 22, 2011
  Joined: Aug 29, 2011
  Messages: 2,371
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  [​IMG]
   
 5. Nyamburi

  Nyamburi JF-Expert Member

  #5
  Dec 22, 2011
  Joined: Oct 28, 2011
  Messages: 306
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Thanks u very much,ila ni x mass without a power
   
Loading...