Hili la uteuzi wa nyadhifa za utumishi wa umma limekaaje?!?

Ubumuntu

JF-Expert Member
Oct 21, 2010
14,316
10,782
Salaam wakuu wa JF!!

Mimi hili jambo linanitatiza na kunichanganya sana. Mara nyingi watu wanapoteuliwa kushika nyadhifa mbalimbali katika utumishi wa umma, utasikia taarifa inasema kwamba uteuzi huo umeanza toka siku/wiki kadhaa zilizopita!!
Hii inakua na maana gani?!?

Mimi shida ya kubwa ni kwamba kama uteuzi huo unaanza tangu kabla taarifa ya uteuzi huo haijatolewa, ina maana mteuliwa atapata financial benefits bila kuzitolea jasho!!! Ataanzaje utekelezaji wa majukumu yake way before hata jina lake halijatangazwa kuwa ndio teule!?!?

Naomba ufafanuzi kwa anaelewa!!
 
Back
Top Bottom