Je Dk. Slaa ataweza hili...?

Sabry001

JF-Expert Member
Jun 28, 2011
1,064
353
Nilikuwa najiuliza mfano tukampa nchi aiongoze je tatizo wanalolipata waishio mabondeni huko daslam kila inyweshapo mvua atalimaliza? Kwa mtazamo wangu tatizo sio mvua wala kuishi mabondeni, TATIZO MIUNDOMBINU MIBOVU! Mabilioni ya Epa, sherehe za uhuru na mengneyo yangeboresha mfumo wa maji taka, ujenzi wa mto msimbazi cjui mto mbezi na kigogo, maafa haya yangekuwa historia kwe2. Was just tryn to thnk aloud!
Ngashtuka!
 
jibu unalo kwamba miundombinu ni mibovu ni rahisi sana kutekeleza hilo hata mimi ningeweza si nengechukua tu pesa ya rada na ninge ifanya dar kuwa kama paris
 
jibu unalo kwamba miundombinu ni mibovu ni rahisi sana kutekeleza hilo hata mimi ningeweza si nengechukua tu pesa ya rada na ninge ifanya dar kuwa kama paris
Majibu rahisi kwa maswali magumu. Hizo ndio siasa zetu na viongozi wetu Tz!
 
Majibu rahisi kwa maswali magumu. Hizo ndio siasa zetu na viongozi wetu Tz!

Una hakika aliyekujibu ni Mwanasiasa au ni Dr Slaa mwenyewe? Mbona unafanya conclusion mbaya sana kwa kulaumu watu ambao hawajakujibu?
 
Back
Top Bottom