Habari zenu wakuu hope wote mko na afya njema mkiwa na matumaini ya kufikia mwaka 2012 , kwa kipindi kidogo nilichopo humu jamiiforums kwenye kila post nigundua idadi kubwa ya watizamaji na...
Wana JF
PPF wamefukuza kazi mameneja watatu eti ndio waliokuwa wanaanika maovu ya wakurugenzi wa PPF hapa JF.
1. Invisible na Mh. Mod, ni ushahidi gani wanaweza peleka mahakamani kuwa sio...
kwasababu chama kimekosa kabisa uelekeo na jk amekosa mvuto ndani na nje ya chama natangaza kuchukua fomu za ugombea wa uwenyekiti wa CCM taifa. Katika uongozi wangu ndani ya chama nitabadili...
I have had a chat with some friends from different African countries. I got touched by some comments by a nigerian and a kenyan. A nigerian said 'tanzania is the easiest country to lead in africa...
Published On: Fri, Dec 30th, 2011
Tanzania | Published On: Fri, Dec 30th, 2011
The growing number of alumni who study in Korea was recently bolstered when about 40 members with different...
Kuanzia tarehe 1 mwezi januari mwakani nauli ya kuvuka kwenda na kutoka kigamboni itakua shiling mia mbili kwa mtu mmoja,na gari zitatozwa sh elfu mbili!
Walalahoi tujipange kufunga mikanda,
Joseph Lyimo
25 December 2011
The Babati District Resident Magistrate Victor Bigambo, has sent 15 Ethiopian illegal immigrants to jail for a total of 15 years. Each will serve one year. They had...
Salam za mwaka mpya 2012 kwa vijana wote Vijana wenzangu salam.Mimi kijana mwenzenu ni mzima na buheri wa afya. Tumefika mwisho wa mwaka 2011.Tuna kila sababu ya kumshukuru mwenyezi Mungu kwani...
Je,Kweli kuna haja ya kuanzisha JKT ktk kizazi hiki cha bongo.com iwe lazima kama zamani hizo? Ila mimi nimelipenda sana japo nahisi litatengeneza waathirika wengi sana!
Nimepata taarifa iliyotumwa kama post katika facebook kutoka kwa rafiki yangu anadai kwamba Baloz Seif ataapishwa kesho Ikulu na Mh.JK kwa nafasi aliyokuwa nayo Luhanjo.
Mwenye kufahamu hili...
U-dini, U-kabila, U-kanda (Geographical areas) ni baadhi ya mambo ambayo yamesababisha umwagikaji wa damu katika mataifa mengi. Natambua kuna sababu nyinginezo ambazo sijazitaja hapa wasomaji wa...
Senene ni wadudu jamii ya panzi ambao ni chakula kitamu na cha heshima ambacho hutumiwa na watu wa Ukanda wa ziwa victoria hasa mkoa wa Kagera. Wadudu hao huvunwa wakati wa msimu wa mvua hasa...
katika tarifa ya habari ITV, Mwandosya kasema kuwa hakuna nchi nyingine katika Afrika ambayo inapeleka idadi kubwa ya wagonjwa bila kujali hali zao za kiuchumi kama Tanzania. Pia kapongeza zoezi...
Wadau ninapita sasa hivi barabara ya mandela eneo la matumbi darajani ambako mto msimbazi unapita.Eneo hili ambao maji yalifurika mpaka katika yards za malori makubwa kuna harufu kali.Ni vizuri...
Polisi aliyedhalilisha watoto ashitakiwa
Jeshi la Polisi limemfikisha mahakamani askari wake, D5882 Koplo Richard Singano wa kituo cha Gongo la Mboto, kwa tuhuma za kubaka mtoto wa miaka tisa...
Uongozi wa Kivuko cha Magogoni/Kigamboni umepandisha nauli kwa 100% kuanzia mwaka mpya 2012, wakati wakazi wa Misungwi wanavuka bure Watanzania wengine wanavuka kwenda Kigamboni au kuja mjini kwa...
Hebu pata vionjo vya MR2.....enzi hizoooooo
Mwaka 1995, nikiwa najaribu kusambaza kazi za wanamuziki wa Tanzania kupitia kajimradi kadogo, mwanamuziki Innocent Nganyagwa alinijia na...
Eeh Mungu mwenyezi mwingi wa rehema na baraka, nashukuru kwa baraka ya uhai hata kufika siku ya leo ninapoelekea kuaga mwaka 2011 na kuupokea mwaka 2012 kwa moyo mkunjufu.
Nashukuru Eeh Mungu...