Harufu kali eneo la Matumbi Darajani | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Harufu kali eneo la Matumbi Darajani

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mwamanda, Dec 30, 2011.

 1. Mwamanda

  Mwamanda Senior Member

  #1
  Dec 30, 2011
  Joined: Feb 24, 2009
  Messages: 132
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 35
  Wadau ninapita sasa hivi barabara ya mandela eneo la matumbi darajani ambako mto msimbazi unapita.Eneo hili ambao maji yalifurika mpaka katika yards za malori makubwa kuna harufu kali.Ni vizuri uchunguzi ufanyike kubaini kama hakuna masalia ya binadamu yaliyofunikwa na mchanga au tope.
   
 2. k

  kaeso JF-Expert Member

  #2
  Dec 30, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 551
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Mmmh! Inawezekana kabisa kukawa na masalia ya binadamu, inabidi uchunguzi ufanyike..
   
 3. Inkoskaz

  Inkoskaz JF-Expert Member

  #3
  Dec 30, 2011
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 6,317
  Likes Received: 438
  Trophy Points: 180
  mbona maiti nyingi zimeozea matopeni? Fire and rescue na TPDF wanakula shushu wakati ni wajibu wao wakati wa maafa
   
 4. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #4
  Dec 30, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,339
  Likes Received: 19,521
  Trophy Points: 280
  serikalia sasa hivi inakula mwaka mpya
   
 5. TUKUTUKU

  TUKUTUKU JF-Expert Member

  #5
  Dec 30, 2011
  Joined: Sep 14, 2010
  Messages: 11,852
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Mh!ni kweli mkuu hata mimi nilipita na kusense hiyo harufu,there must be some thing wrong!
   
Loading...