Jeshi la kujenga taifa (JKT)

BORNCV

JF-Expert Member
Oct 11, 2011
242
46
Je,Kweli kuna haja ya kuanzisha JKT ktk kizazi hiki cha bongo.com iwe lazima kama zamani hizo? Ila mimi nimelipenda sana japo nahisi litatengeneza waathirika wengi sana!
 
Mafisadi wa leo ambao wengi ni wanasiasa karibia wote walipitia JKT lakini sioni huo uzalendo,maadili,ukakamavu na uchapakazi wao katika kujenga taifa nilitegemea wao wawe mfano bora.Sioni umuhimu wa JKT kwa sasa ni bora wakaongeza hiyo budget ya kuanzisha tena JKT(kama ipo) katika kuendeleza sekta nyingine zenye tija.
Neno langu sio sheria..
 
Huwezi kujua umuhimu wa JKT kama huna upeo wa kuangalia mambo yanavyokwenda, sio Tanzania tu bali ulimwenguni kwa ujumla.
 
Hilo Jeshi Siri yako lilikuwa Linafadhiriwa na Israel Nyerere alipovunja uhusiano nao kwa Nguvu ya BAKWATA waisrael Wakaenda Zao Tukabaki hoe hae... Nadhani Tulichagua Upande Mbovu... Lile Taifa Ukilipinga! Mungu ataku.... Tafuta Maandiko Utapata Jibu...
 
ina maana mpaka leo bongo haina ubalozi wa israeli?
 
Je,Kweli kuna haja ya kuanzisha JKT ktk kizazi hiki cha bongo.com iwe lazima kama zamani hizo? Ila mimi nimelipenda sana japo nahisi litatengeneza waathirika wengi sana!

From economic point of view, hakuna haja ya kuliingiza taifa katika gharama za JKT kwa mujibu wa sheria. Hakuna haja kwa hali ya uchumi ilivyo.

Uzalendo hautakuja kwa kuwapeleke watoto wetu JKT, bali kwa viongozi kuonyesha mfano. Hakuna atakaye kuwa lofa asiliibie taifa wakati anaona akina vijisent , MPs na posho, watotot wa wakubwa wanajimilikisha mali za wote etc. wanajizolea cha kwao. Hakuna mjinga wa uzalendo wa hivyo kizazi hiki!!!
 
Naunga mkono hoja.
 
Hilo Jeshi Siri yako lilikuwa Linafadhiriwa na Israel Nyerere alipovunja uhusiano nao kwa Nguvu ya BAKWATA waisrael Wakaenda Zao Tukabaki hoe hae... Nadhani Tulichagua Upande Mbovu... Lile Taifa Ukilipinga! Mungu ataku.... Tafuta Maandiko Utapata Jibu...

acha udini wewe!
Uhusiano na Israel umevunjwa miaka ya 60 wakati intake ya mwisho ya JKT ilikuwa miaka ya 90...
Hiyo miaka yote hapo alikuwa anafadhili nani...
Eti Israel, mnawapenda sana wale magaidi eh?
 
Dini yako ndio inakufundisha hayo?
 
Bora jkt wairudishe nazan hawa polis vibaraka wa ccm wataacha ukimbora wao.

Yaani itakuwa poa sana vijana wanapata mafunzo kisha wanaingia kitaa hao viongozi na polisccm wakizingua tu kinanukishwa,
ndiyo utakuwa mwisho wa polis kuwatandika ovyo mabom,risasi,marungu na maji ya kuwasha raia pindi wadaipo haki zao.
Haita wezekana na kutokea policeccm kumshinda mwanajeshi.
 
Mh vijana wa siku hizi wanavyopenda starehe. Hawachelewi kumuomba Aikael awajengee ukumbi wa disco huko huko kambini.

Nchi yetu hii hata kama jambo ni jema usoni lazima litakuwa na mkono wa ufisadi ndani yake. Sijui huu ni mradi wa nani sasa.
Tuunde tume teule ya bunge ichunguze kwanza.
 
Vijana wa sass wengi ni masharobaro(uvivu mwingi)
Zamani ilikuwa check Bob,ni mtu anaye jipenda lakini mtu mgumu.
Sharobaro akivaa kata ****** atawezaje mwendo wa mchaka mchaka??,,?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom