Senene wasababisha maafa Karagwe

Senene wasababisha maafa Karagwe

MBURE

Member
Joined
Aug 13, 2011
Posts
27
Reaction score
2
Senene ni wadudu jamii ya panzi ambao ni chakula kitamu na cha heshima ambacho hutumiwa na watu wa Ukanda wa ziwa victoria hasa mkoa wa Kagera. Wadudu hao huvunwa wakati wa msimu wa mvua hasa mwishoni mwa mwaka.Katika purukushani za mavuno ya wadudu hao mtu mmoja inasemekana amefariki dunia usiku wa jana eneo la Omrushaka wilaya ya Karagwe mkoani Kagera.
 
tupe maelezo ya kutosha.mm sijawai kusikia senene wameua mtu.bishuba..!
 
Kafa kwa sa babu ipi,kavamiwa au tamaa yake baada ya kuwaona
ni sawa na kufa baharini kwa kiu!
 
kweli jamani ,Alienda kuwakamata akiwa na mtoto mchanga , alipomweka chini akasahau kwani senene walikuwa wengi na wanene aliporudi akakuta mwanae wamemshambulia ,kumuuma na kumparua sana mpaka amekufa. JAmani senene watamu
 
Ensenene, ensenene, ensenene nenura kushaga enyama.
Dah! Mbona mwanitamanisha, haya pole sana wafiwa
 
ati nini?
Senene wanashambulia binadamu? Tangu lini. Hakika haya makubwa!
 
Back
Top Bottom