Ni kweli Mkuu,TBC1 wamesema.Ila wengine hatuijui hata sura yake,mwenye nayo atujuze.Nimepata taarifa iliyotumwa kama post katika facebook kutoka kwa rafiki yangu anadai kwamba Baloz Seif ataapishwa kesho Ikulu na Mh.JK kwa nafasi aliyokuwa nayo Luhanjo.
Mwenye kufahamu hili atujuze zaidi.