Hivi kwanini hawa viongozi wetu,karibia wote,wakiulizwa kutoa ufafanuzi wa tatizo lolote hapa tanzania hua wanajifariji kwamba hili tatizo sio kwetu hata ulaya,marekani,japan wanayo,sasa kama wao...
Unajua tanzania sasa
imefika hata tunatangaziwa wamekufa watu 50 kwa ajili ya maji atushangai
sababu ya kamanda mpinga na watu wake kuchngia vifo vya kila siku
akuna asiejua jamani kila wiki...
Jamaa mmoja huko Lamu Kenya alikuwa akisafiri na familia yake na abiria wengine kwa mashua wamenusurika kuzama ndipo Bwana alipoogelea na kumwokoa mkewe na kuacha wanawe. but kajieleza alipokuwa...
BREAKINGNEWS.........MWANAFUNZI ATUKWA AMEKUFA KWA KUTOA MIMBA KTK CHUMBA CHA MWANAFUNZI WA CHUO
Mwanafunzi wa shule ya sekondari ya wasichana Iringa aliyetambuliwa kwa jina la...
Leo nimenusurika kuibiwa kwenye akount yangu ya tigo pesa.
Mkasa wenyewe ulikuwa kama ifuatavyo nilikuwa nataka kutoa pesa kwenye akaunti yangu ya tigo pesa.Nilifuata process zote na mpaka...
Wandugu namkumbuka sana Mwl Nyerere kwa kuibua maneno mapya kama anaelezea mambo fulani ,
Kwa mfano
1.Iddi Amini alibatizwa jina la Nduli(joka) wakati alipovamia Tanzania,Mwl alisema tutalitoa...
PENGINE KUNA KITU CHA KUJIFUNZA KATIKA SAKATA LA SUAREZ NA EVRA
'Suarez, Evra and Reliable Witnesses
The verdict in the Suarez case hung on the reliability of the witness testimony. In blunt...
Ukisikia wazanzibari wanavyolalamika kukandamizwa na serikali ya muungano, unapata kinyaa na ngoa. Malalamiko ya wazanzibari yamegeuka ndwele tena isiyotibika. Kwanini wanashindwa kuamua moja...
Siku za nyuma, ilikuwa haipiti muda bila kusoma habari za gazeti la Mwanahalisi kwenye JF. Hata hivyo, siku hizi halisikiki ukiachia mbali kuibuka utata juu ya ithibati yake. Je kulikoni...
Wakati wa Salamu za Mwaka mpya Waziri wa Nishati na Madini Willium Ngeleja alisisimama Mbele ya Kanisa lake jimboni kwake na kueleza baina kuwa anaomba Askofu na Waumini wamuombee ili Matatizo ya...
Source: The Guardian 14 December, 2011 page 10
Miaka ya 2003-2005, PPF kwa mbwembwe kubwa walianzisha mradi wa ujenzi wa nyumba za bei nafuu kwa wanachama wake kama mwitikio wa maombi ya...
"Tanzania Tanzania nakupenda kwa moyo wote",ni wimbo unaovutia ni wimbo unaelezea wasifu wetu wasifu wa nchi yetu Tanzania kweli jina lako ni tamu tulalapo tunakuota wewe, Ndoto wakati mwingine...
Ukiingia ndani ya basi unaweza ukakutana na maandishi, "abiria chunga mzigo wako". Na katika tiketi pia utakutana na mwandishi hayohayo na wanaongeza kuwa kampuni haitahusika na upotevu wowote wa...
Diwani kupitia CHADEMA (Morogoro) amechomwa na kisu na mpenzi wake ambaye pia ni kiongozi wa CHADEMA Diwani kalazwa hospitalini na Mshikji wake kakimbia !!
My take:
Hii inaashiria nini ?
SOURCE...
Nimekua Arusha kwa muda mwingi hii desember nimekutana na vijitangazo kibao kuhusu waganga wa kienyeji wengi utasikia wanatoka rukwa,sumbawanga,ufipa,kigoma alakini huwezi sikia mganga kutoka...
I know barclays started as a corporate bank then few years later it expanded into commercial,I would want to knw exactly when (dates n data if any) this all happened.
thanx
GreaTthinkers
Hivi ndivyo tunavyoaga miaka hapa JF, ili kuwa na kumbukumbu ni vizuri nawe ukaweka tukio unalolikumbuka lilikuchefua au kukuhuzunisha ili libake humu JF milele
1. Anne Makinda...
RWANDA: 2011 was a year of progress Kagame
www.eastafricanewspost.com
Dr. Willibrord Slaa
Kila mmoja wetu anayo nafasi ya kuleta maendeleo nchini mwaka huu wa 2012.Tuongeze bidii ya kufanya...