spencer
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 3,599
- 3,220
GreaTthinkers
Hivi ndivyo tunavyoaga miaka hapa JF, ili kuwa na kumbukumbu ni vizuri nawe ukaweka tukio unalolikumbuka lilikuchefua au kukuhuzunisha ili libake humu JF milele
1. Anne Makinda kupandisha posho za wabunge hadi 200000 kwa siku
2.Kero ya Uhaba wa Mafuta (diesel na Petrol)
3.Mafuriko yaliyoua watu zaidi ya 40
4.Serikali kutumia 62bil sherehe za kutimiza miaka 50 ya Uhuru batili
5.Mabomu ya Mbagala na Gongo la Mboto kushindwa kumwadabisha Waziri husika
6.Kuzama kwa Meli Zanzibar na kuua mamia ya watu
7.Kujaa maji uwanja wa ndege Mwanza huku serikali ikiwa haina hata mpango wa kujenga mpya Eneo pana la Mabuki
8.Kuugua Ghafla kwa Mwakyembe na Mwandosya huku ikihusishwa na aftermath za Richmond tremor
9.Pinda kuuza ekari maelfu Rukwa kwa bei ya Sh. 150 kila Ekari kwa Wamarekani
10.............................
11................................
12................................
Nitaendelea kuorodhesha