Mpango mpya wa kuhujumu mapato ya manispaa ya morogoro. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mpango mpya wa kuhujumu mapato ya manispaa ya morogoro.

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by zilzal, Dec 30, 2011.

 1. z

  zilzal Senior Member

  #1
  Dec 30, 2011
  Joined: Jul 6, 2008
  Messages: 135
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Wafanyabiashara wa nyumba za kulala wageni katika manispaa ya Morogoro,wameagizwa na mkurugenzi kuwa kuanzia mwezi januari,2012.kulipa kodi ya "hotel levy" kupitia kampuni binafsi ya "BAMM SOLUTIONS (T) Ltd. Inayomilikiwa na Bw.Brian Kikoti,badala ya kulipa moja kwa moja kwa manispaa.Mpango kama huu ulishawahi kufanyika mwaka 2005.wakati kampuni ya"PEWPASA CONSTRUCTION AND GENERAL TRADERS" ilipokabidhiwa kazi hiyo na mkataba wake kusitishwa baada ya mwaka mmoja,baada ya kugundulika upotevu mkubwa wa mapato,ambayo yalikuwa yakiingia kwa watu binafsi.inashangaza kwa uongozi wa manispaa kukubali kuingizwa mkenge kwa mara ya pili.
   
 2. NGUVUMOJA

  NGUVUMOJA JF-Expert Member

  #2
  Dec 30, 2011
  Joined: Jul 1, 2011
  Messages: 1,353
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Fanya utafiti kisha utuletee majibu. Je wamiliki wa hiyo kampuni sio viongozi wa Manispaa?
   
 3. B

  Bulesi JF-Expert Member

  #3
  Dec 30, 2011
  Joined: May 14, 2008
  Messages: 6,447
  Likes Received: 414
  Trophy Points: 180
  Sintashangaa kuwa baada ya utafiti ikagundulika kuwa wamiliki wa kampuni iliyopewa hilo jukumu la kukusanya hiyo kodi toka nyumba za kulala wageni ni madiwani au ndugu zao wa karibu!! Kule Singida mkuu wa mkoa alianzisha kampuni ya kusomba taka mjini yeye na mwanae na akawa anajipatia fedha bwerere bila ushindani!! Hii ndio bongo tuijuayo viongozi hawana mwiko wanakula mbele kwa mbele!!
   
 4. z

  zilzal Senior Member

  #4
  Jan 2, 2012
  Joined: Jul 6, 2008
  Messages: 135
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Mwenye credential za BRIAN KIKOTI na Kampuni yake ya BAMM solutions aziwekd hapa ili tuweze kumjua anaetukusanyia mapatn yetu.
   
Loading...