Dawa ya panya | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Dawa ya panya

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by SWEET GIRL, Jan 1, 2012.

 1. S

  SWEET GIRL JF-Expert Member

  #1
  Jan 1, 2012
  Joined: Dec 29, 2011
  Messages: 468
  Likes Received: 145
  Trophy Points: 60
  Heshima mbele!
  mimi ni mgeni kidogo hapa jamvini.lakini naamini nitapatiwa ufumbuzi wa tatizo langu.kuna panya wananisumbua sana dukani kwangu.ingekuwa ni nyumbani ningewacontrol vizuri sana.lakini sasa ni dukani na wanatokea kwenye maduka ya jirani zangu kwakweli wananinyima raha kwani nimetumia dawa kadhaa lakini kila nikiwauwa wanakuja wengine.wananitia hasara kwakweli je nifanyeje nahitaji mawazo yenu wadau.
   
 2. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #2
  Jan 1, 2012
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  Pole sana SWEET GIRL, na bila shaka walimu utawapata hapapa muda siyo mrefu!
   
 3. Born Star

  Born Star JF-Expert Member

  #3
  Jan 1, 2012
  Joined: Oct 24, 2011
  Messages: 283
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 45
  mbona kazi ni ndogo sana unapowawekea sumu dukani kwako washawishi na wenzako wa flem za jaran waweke sumu tatizo litaisha la sivyo ni sawa na kujitibia gono wewe peke yako bila mpenzi wako aliye kuambukiza halafu kesho unaenda kuchovya
   
 4. nitonye

  nitonye JF-Expert Member

  #4
  Jan 1, 2012
  Joined: Dec 18, 2011
  Messages: 7,167
  Likes Received: 507
  Trophy Points: 280
  fuga paka wakisha sikia sauti ya nyau! nyau! watatimua hawatarudi tena au tafuta mitego ya panya ila ukiwanasa usiwatupe coz hiyo ni biashara nzuri ya wachina panya mmoja anauzwa 5,000 au watu mtwara wanapenda sana hii kitu
   
 5. b

  bitimkongwe JF-Expert Member

  #5
  Jan 1, 2012
  Joined: Oct 21, 2009
  Messages: 3,034
  Likes Received: 211
  Trophy Points: 160
  Hapo ni kama alivyokwambia mdau wa pili ni lazima muweke nyote wenye maduka katika eneo hilo, hapo ndiyo utapata afueni.

  Jitahidi uwapige kampeni wenzako mufanikishe hilo zoezi.
   
 6. Chamoto

  Chamoto JF-Expert Member

  #6
  Jan 1, 2012
  Joined: Dec 7, 2007
  Messages: 2,060
  Likes Received: 1,099
  Trophy Points: 280
  Dada najua wewe ni mgeni na nachukua fursa hii kukukaribisha.

  Pia jaribu kutumia search button hapa au tumia google site operator ili kuangalia kama swali lako lilishawahi ulizwa hapo awali. Jaribu kuangalia posti hii, binafsi nilipenda jinsi Nanren alivyojibu.

   
 7. KOKUTONA

  KOKUTONA JF-Expert Member

  #7
  Jan 1, 2012
  Joined: Jan 29, 2011
  Messages: 8,344
  Likes Received: 391
  Trophy Points: 180
  Nunua indocid ktk duka la dawa, ni mia mbili au mia tano kwa vidonge 20. Viko mfano wa tertecyclie ila ni vyeupe. Vifungue na tumia unga wa ndani kutegeshea panya ukichangany na chakula ambacho panya wanapenda kula. Jiandae kwa harufu na kuokota panya
  Ila na majirani zako yabidi wafanye pia, ili kuwakomeshq kabisa hao panya
   
 8. nitonye

  nitonye JF-Expert Member

  #8
  Jan 1, 2012
  Joined: Dec 18, 2011
  Messages: 7,167
  Likes Received: 507
  Trophy Points: 280
  ukimlisha sumu panya ndani hapatakalika kama unataka kuwafukuza wateja wawekee sumu hawa wanyama wakishakula sumu wanapagawa wanatafuta sehemu ya kujificha ambayo ni ngumu sana kuwapata
   
 9. FaizaFoxy

  FaizaFoxy JF-Expert Member

  #9
  Jan 1, 2012
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 58,102
  Likes Received: 22,142
  Trophy Points: 280
  ndio nini hicho?
   
 10. THK DJAYZZ

  THK DJAYZZ JF-Expert Member

  #10
  Jan 2, 2012
  Joined: Sep 14, 2011
  Messages: 2,144
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  Acha kutuchanganya na haya mambo yako ya panya, sijui nini nahisi ipo siku utatuletea matatizo yako ya kunguni humu ndan.
   
 11. S

  SWEET GIRL JF-Expert Member

  #11
  Jan 2, 2012
  Joined: Dec 29, 2011
  Messages: 468
  Likes Received: 145
  Trophy Points: 60
  thanx kwa reply zote jamani.ninazifanyia kazi.
  happy new year!
   
Loading...