Mdada kumuua kamanda wa jeshi ni aibuuu (ripoti za kitaa)

VAMPA

Member
Dec 19, 2011
61
4
nimekaa kijiweni kwa msafisha viatu, hapa stori iliyopo ni aibu, jamaa wanalalamika kuwa askari kuuliwa na mdada kwa kuchomwa kisu marambili ni aibu kwa jeshi letu. kwani jinsi tukio lenyewe lilivyo, huyo mdada kamchoma alafu kaokota kiso na kumchoma tena itakuwa vipi akiwa vitani. jamaa hawana imani kabisa na ujasiri wa jeshi letu. eti ni jeshi la gwaride tuu.
wanajamvi mnasemaje?
nawasilisha.
 
Kwa hiyo unachotaka kusema hapa ni nini? Kwamba mdada hawezi kuwa fit zaidi ya "kamanda" wa jeshi au nini?

Halafu inaonekana huna details, hujui hali ilikuwaje, usharukia conclusion.
 
Kwa hiyo unachotaka kusema hapa ni nini? Kwamba mdada hawezi kuwa fit zaidi ya "kamanda" wa jeshi au nini?

Halafu inaonekana huna details, hujui hali ilikuwaje, usharukia conclusion.

Hiyo thread iko wazi wala sijatoa conclusion, mi nimetoa ripoti za kitaa na wala si mawazo yangu ninatotaka hapa ni wana jf mnasemaje kuhusu hili suala.
 
Jamani kwenye mapenzii mijibaba inakuwa mizonya wakati mwingine wkaumbuka iron Mike Tyson alipigwa hadi akachanika juu jicho lake na yule dada aliemuoa miaka ile 95,jina limenitoka!!
 
jadili masuala acha kujadili watu.
akiwa vitani atapewa bunduki.hakuna kavukavu. haya kawaambie wenzio jibu nililokupa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom