Clouds FM wapo biased sana katika kusoma habari | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Clouds FM wapo biased sana katika kusoma habari

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Titans, Jan 2, 2012.

 1. Titans

  Titans JF-Expert Member

  #1
  Jan 2, 2012
  Joined: Dec 31, 2010
  Messages: 867
  Likes Received: 1,073
  Trophy Points: 180
  Leo katika kipindi cha magazeti cha clouds FM kinachoongozwa na PJ nimesikitika sana,nilikua nasubiri kwa hamu sana habari ya MAGUFULI kuzomewa,ila PJ hakusoma hyo kitu hata heading tu,damn them.nahisi wanatumika kimaslahi.
   
 2. WAHEED SUDAY

  WAHEED SUDAY JF-Expert Member

  #2
  Jan 2, 2012
  Joined: Jun 24, 2011
  Messages: 7,152
  Likes Received: 1,249
  Trophy Points: 280
  Kwani hapo nyumbani kwako radio yako inadaka clouds fm peke yake? au na wewe ndo walewale wanazi wa radio moja. Mi nimeisikiliza radio magic fm yaani wametoa bila chenga kila kitu
   
 3. n

  ndoleha Member

  #3
  Jan 2, 2012
  Joined: Oct 24, 2011
  Messages: 26
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Hawa Clouds mbona tumewashtukia siku nyingi....ni redio inayofaidika na system iliyopo sasa, kiserikali na kichama. Jaribu pia ku observe Michuzi blog.. ni hivyo hivyo
   
 4. Duble Chris

  Duble Chris JF-Expert Member

  #4
  Jan 2, 2012
  Joined: May 28, 2011
  Messages: 3,487
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  hivi wewe bado unasiliza redio hii ambayo ipo biased
   
 5. J

  JF mteule Member

  #5
  Jan 2, 2012
  Joined: May 23, 2011
  Messages: 34
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kwani we mpaka leo haujui clouds ipo kwa maslahi ya nani? hiyo redio ni sawa na kusoma gazeti la uhuru au jambo leo. amka tafuta redio nyingine za kusikiliza acha kulalamika bhana.
   
Loading...