Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Pamekuwepo tangazo kwenye vyombo vya habari toka ofisi ya Waziri Mkuu kuwa utabiri wa hali ya hewa unaonyesha patakuwepo na mvuakubwa itakayoambatana na upepo katika mikoa ya Kusini, Mtwara...
0 Reactions
0 Replies
933 Views
askari wa jeshi la polisi wa mkoa wa Morogoro wakiwa katika gari Land rover tdi yenye namba PT 1490 muda wa saa saba na nusu,wakiwa kando ya barabara indayo Dodoma katika pori...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
See you at etihad ground Happy Sunday Rgds KIM-DIDY II
0 Reactions
1 Replies
882 Views
Wadau naomben msaada.Kozi ya uaskari magereza na jwtz ipi ngumu zaid?Nauliza kwa sababu dogo anataka kujiunga sehemu 1 kati ya hizo.huku uswahilin kuna maneno ya kutisha kuliko vitendo!MSAADA...
0 Reactions
22 Replies
8K Views
Wadau nakuja na kiti kinachonisikitisha sana,kuna tabia sasa inakua kwa kasi ya baadhi ya wasanii wa maigizo na filimu hapa tanzania kushirikisha watoto wadogo katika matukio ya maigizo/picha,cha...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Mtoto wa Baba wa Taifa, Madaraka Nyerere aliukimbia 'Mwenge wa Uhuru' wakati yeye na kundi la watanzania wengine walipokuwa wanapanda mlima Kilimanjaro kuadhimisha miaka 50 ya Uhuru. Kipindi...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
wanajamvi naomba maoni yenu kuhusu swala hili, nimekuwa najiuliza kwanini wazee ambao walikuwa wafuasi wa siasa za mwalimu za ujamaa nakujitegemea ndio kwa kiasi kikubwa wamekumbwa na kashfa ya...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Katibu wa CCM Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye SUMAYE AMVUTIA PUMZI NDUGAI Waandishi Wetu CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimebaki njia panda baada ya kushindwa kuchukua hatua au kutoa tamko kuhusu...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
kwa anetaka uwakala wa airtel money piga hizi namba 0717474257 (usishangae namba ni ya tigo .mi nimeajiriwa .hvyo naendelea kutumia namba yangu ya tigo though workng 4 airtel) .kinacho itajika ni...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Mimi ni mdau wa jeshi la polisi, lakn sisi wananchi 2nachukizwa mno na sera yenu ya Polisi Jamii ambayo imewajengea vitisho askari wenu ktk kukabiliana kikamilifu na waharifu wakorofi. Mfano...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
kupitia katika vipindi vyake vinavyorushwa na chanel ten television,mara kadhaa anaonyeshwa akiwa na press conference. Miongoni mwa yanayonifanya kujiuliza swali hili ni pale anapojitwika utabiri...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Jamani ndugu zangu viongozi wa Jiji la Mwanza nawaombeni fikirini nje ya boksi na anzeni sasa ujenzi wa barabara mbadala wa zile kuu ziendazo Musoma, Shinyanga na Uwanja wa ndege. Nionavyo mimi...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
WILL IT BE JOYFUL OR SADNESS AS SERENGETI ROAD CONSRTUCTION SET TO BEGIN? FINALLY the construction of the much awaited Makutano-Juu- Mto Wa Mbu highway that will link residents of Mara and...
0 Reactions
0 Replies
643 Views
Mwenzenu najitahidi kuelewa lakini sipati lolote ninalollifahamu kuhusu huyu mzee. kama mtendaji wa serikali nilitegemea kumsikia kila siku au pengine kila baada ya siku moja. lakini cha ajabu...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Vijana ni tumaini pekee na asset kubwa kwa taifa hili linalo ota siku moja litakuwa na wa2 wenye maisha bora na kuwa taifa la kuigwa ulimwenguni. Vjana wanasiasa lazima wajihoji kwann wapo kwenye...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakati mwingine huwa najiuliza swali hili lakini sipati majibu. Nimeshuhudia raia wa kiandamana ili kueleza hisia zao juu ya matatizo yanayoendelea lakini wanaishia mikononi mwa jeshi la polisi...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Ujumbe huu nimeupokea kwenye barua pepe toka kwa mdau anayeshiriki zoezi tajwa hapo juu na haya ni maelezo ambayo nadhani ni vyema kwa sisi wahusika kuyafahamu au kuwafahamisha ndugu, jamaa na...
6 Reactions
24 Replies
3K Views
Wanajamvi, Kwanza habari za mwaka mpya? Ni kwa takribani mwezi mmoja sasa maduka ya mfanyabiashara maarufu mkoani Kagera-Bukoba (Dr.REMI) yamefungwa na hayatoi huduma. Mfanyabiashara huyu...
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Hili nalo linahitaji mjadala. Kumbe ukiwa unaishi katika nyumba kama mpangaji maafa yakitokea mfano mafuriko, serikali haikutambui. Inamtambua mwenye nyumba tu. Wapangaji wote waliokuwa wamepanga...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
WANANCHI WACHANGAMKIA MAFUTA KATIKA AJALI YA LORI LA MAFUTA Wananchi wakigombea mafuta eneo la ajali Askari polisi wakiongozwa na mkuu wa kikosi cha upelelezi wilaya Tedy...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…