Hivi Tunahitaji semina Kuacha Tabia Hizi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi Tunahitaji semina Kuacha Tabia Hizi?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by vivian, Jan 6, 2012.

 1. vivian

  vivian JF-Expert Member

  #1
  Jan 6, 2012
  Joined: Nov 2, 2009
  Messages: 1,704
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  [h=3]WANANCHI WACHANGAMKIA MAFUTA KATIKA AJALI YA LORI LA MAFUTA[/h]
  [​IMG]Wananchi wakigombea mafuta eneo la ajali
  [​IMG]Askari polisi wakiongozwa na mkuu wa kikosi cha upelelezi wilaya Tedy Timbuka (kulia) wakiwa wamefika eneo la tukio kuthibitia uharifu na kuwatawanya wananchi ambao walitaka kusababisha tukio baya zaidi eneo hilo
  [​IMG]Gari la mafuta likiwa limeanguka japo hakuna aliyepoteza maisha katika tukio hili
  [​IMG]wanawake na watoto pia wakisubiri kupata mafuta eneo la ajali jambo ambalo ni hatari sana [​IMG]
  Wananchi wa Ihemi na Tanangozi wilaya ya Iringa vijijini jana wamefunga barabara ya Iringa -Mbeya kiasi cha jeshi la polisi kutumia jitihada kuwatimua baada ya lori la mafuta kuanguka na wananchi hao kugombea mafuta hayo yaliyokuwa
   
 2. JamboJema

  JamboJema JF-Expert Member

  #2
  Jan 6, 2012
  Joined: Jun 14, 2011
  Messages: 1,148
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  Wanayataka ya Isongole!
   
 3. LEGE

  LEGE JF-Expert Member

  #3
  Jan 6, 2012
  Joined: Oct 14, 2011
  Messages: 4,914
  Likes Received: 5,351
  Trophy Points: 280
  We unafanya mchezo na MWARABU nin??

  Hao waliopo hapo wote siyo walala hoi.Hata hao polisi wenyewe wanayatamani kweli.
   
 4. nyabhingi

  nyabhingi JF-Expert Member

  #4
  Jan 6, 2012
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 10,896
  Likes Received: 5,358
  Trophy Points: 280
  kweli hali ngumu hata hawajali uhai wao
   
 5. Mlachake

  Mlachake JF-Expert Member

  #5
  Jan 6, 2012
  Joined: Oct 13, 2009
  Messages: 2,920
  Likes Received: 619
  Trophy Points: 280
  hao kina mama na watoto wanatia huruma aisee
   
 6. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #6
  Jan 7, 2012
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,469
  Likes Received: 4,128
  Trophy Points: 280
  Utafikiri hawajui hatari iliyopo hapo!
   
 7. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #7
  Jan 7, 2012
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  inawezekana kweli hawajui.
   
Loading...