commonmwananchi
JF-Expert Member
- Mar 12, 2011
- 3,377
- 1,952
kupitia katika vipindi vyake vinavyorushwa na chanel ten television,mara kadhaa anaonyeshwa akiwa na press conference.
Miongoni mwa yanayonifanya kujiuliza swali hili ni pale anapojitwika utabiri mbalimbali ikiwemo wa mvua na mafuriko yaliyotokea hivi karibuni jijini dsm.huku akiahidi kuzuia mvua kubwa zilizotarajiwa kuendelea kunyesha nchini.(kwa mujibu wa idara ya utabiri wa hali ya hewa nchini)
La pili ni pale anapoongelea masuala ya siasa nchini akisema watu wasiandamane kudai haki zao,hata kama ni haki yao kikatiba kwani eti kwa kufanya hivyo kutakuwa na uvunjifu wa amani.
Sasa basi kulingana na staili yake hii mpya liyoibuka nayo ndio ninapouliza JE AMEMRITHI RASMI MAREHEMU SHEIKH YAHYA(R.I.P).??