Pinda yupo wapi jamani? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Pinda yupo wapi jamani?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by STK ONE, Jan 6, 2012.

 1. STK ONE

  STK ONE JF-Expert Member

  #1
  Jan 6, 2012
  Joined: Dec 31, 2011
  Messages: 628
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mwenzenu najitahidi kuelewa lakini sipati lolote ninalollifahamu kuhusu huyu mzee. kama mtendaji wa serikali nilitegemea kumsikia kila siku au pengine kila baada ya siku moja. lakini cha ajabu linapita Juma zima kimya. sisi ambayo tupo karibu na jimbo lake hatuna lolote tulinalolifahamu kuhusu yeye. Mwenye taarifa kuhusu huyu Mzee Nyooka anijuze Pleaseeeeeeeeeeeeee!!!!!!
   
 2. tz1

  tz1 JF-Expert Member

  #2
  Jan 6, 2012
  Joined: Mar 19, 2011
  Messages: 2,118
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 145
  Kazama akipiga mbizi.
   
 3. F

  FJM JF-Expert Member

  #3
  Jan 6, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Anasimamia ujenzi wa uwanja wa ndege kwao ili wale wawekezaji - Agrisol waweze kutua! Nadhani yuko likizo ya mwaka maana niliona picha kwenye blog ya michuzi akiwa na wajukuu. very nice!
   
 4. N

  Nonda JF-Expert Member

  #4
  Jan 6, 2012
  Joined: Nov 30, 2010
  Messages: 13,223
  Likes Received: 1,958
  Trophy Points: 280
  Bado anaendelea na likizo ya krimasi na mwaka mpya!
   
 5. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #5
  Jan 7, 2012
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,871
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  Yupo likizo ya X-Mas Kwao
   
 6. CHEMPO

  CHEMPO JF-Expert Member

  #6
  Jan 7, 2012
  Joined: Nov 24, 2011
  Messages: 369
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Bado anakula zile 280000/ za jairo na zingine zilizopotea njia....doa hili hupaswi kuwa rais watanzania maisha yako yote
   
 7. b

  batadume Member

  #7
  Jan 7, 2012
  Joined: Mar 4, 2011
  Messages: 91
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  yupo anakula bata na Albino huko jimbon kwake!!!!!!!!!!!!!
   
 8. Mkondakaiye

  Mkondakaiye JF-Expert Member

  #8
  Jan 7, 2012
  Joined: Dec 5, 2011
  Messages: 839
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Mara ya mwisho ni limwona kwenye blog moja amepigwa picha huku amezungukwa na wajukuu kibao akiwa likizo. Niajabu wakati maghufuli alikatisha likizo kuja kushughulikia mafuliko, mtendaji mkuu wa serikali yeye anakula bata mh! makubwa.
   
 9. Amavubi

  Amavubi JF-Expert Member

  #9
  Jan 7, 2012
  Joined: Dec 9, 2010
  Messages: 29,446
  Likes Received: 4,733
  Trophy Points: 280
  Nimemiss kumuona AKILIA............
   
 10. bona

  bona JF-Expert Member

  #10
  Jan 7, 2012
  Joined: Nov 6, 2009
  Messages: 3,796
  Likes Received: 167
  Trophy Points: 160
  this guy is being prepared to be the next president! i think he can do better than the rest!
   
 11. Mulhat Mpunga

  Mulhat Mpunga JF-Expert Member

  #11
  Jan 7, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 25,482
  Likes Received: 12,743
  Trophy Points: 280
  mtishie albino life yake
  atalia mpaka umbembeleze!!!!!
   
 12. Ami

  Ami JF-Expert Member

  #12
  Jan 7, 2012
  Joined: Apr 29, 2010
  Messages: 1,858
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Anamlilia kijana wake Hamad
   
 13. gambachovu

  gambachovu JF-Expert Member

  #13
  Jan 7, 2012
  Joined: Dec 29, 2011
  Messages: 1,865
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Kama kwenu humuoni,basi kamuulizie Chanika. Ni Dar,wilaya ya Ilala. Ni kwake pia. Ukimkosa,ulizia wapi majembe yameadimika-adimika,basi hapo utamkuta.
   
 14. STK ONE

  STK ONE JF-Expert Member

  #14
  Jan 7, 2012
  Joined: Dec 31, 2011
  Messages: 628
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0

  Pinda hawezi kuwa Rais ajae, kama akiwa waziri mkuu tu amewapa wazungu karibu hekta laki mbili huku Mpanda, je akiwa rais si hata sisi tutawekezwa? Hafai hata kidogo.
   
 15. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #15
  Jan 7, 2012
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  president wa mpanda au? si kutwa atakuwa analia lia tu ikulu huyu..aende zake bana
   
Loading...