Kumbe mpangaji wa nyumba TZ hatambuliwi na serikali kama raia katika majanga? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kumbe mpangaji wa nyumba TZ hatambuliwi na serikali kama raia katika majanga?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Jumakidogo, Jan 6, 2012.

 1. Jumakidogo

  Jumakidogo R I P

  #1
  Jan 6, 2012
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 1,859
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Hili nalo linahitaji mjadala. Kumbe ukiwa unaishi katika nyumba kama mpangaji maafa yakitokea mfano mafuriko, serikali haikutambui. Inamtambua mwenye nyumba tu. Wapangaji wote waliokuwa wamepanga kwenye nyumba zilizokumbwa na mafuriko jiji dar sasa wanafukuzwa kwenye makambi kama mbwa, huku wale waliokuwa wamiliki wa nyumba wakionyeshwa maeneo mbadala ya kujenga. Poleni sana wapangaji. Kura mlipiga wenyewe, sasa mliowapigia kura hawawatambui tena
   
 2. b

  bitimkongwe JF-Expert Member

  #2
  Jan 6, 2012
  Joined: Oct 21, 2009
  Messages: 3,034
  Likes Received: 211
  Trophy Points: 160
  Mkataba ni baina ya mpangaji na mwenye nyumba. Sasa mpangaji alipwe kivipi? Yeye muda wowote anaweza kuamua kuhama na kutafuta eneo jengine.
   
 3. LoyalTzCitizen

  LoyalTzCitizen JF-Expert Member

  #3
  Jan 6, 2012
  Joined: Sep 15, 2010
  Messages: 1,806
  Likes Received: 121
  Trophy Points: 160
  Ina maana rights for an accupier of a leasehold estate haipo ktk sheria ya katiba ya sasa ya TZ! duuh! ama kweli bongo ni nchi ya vilaza! ama!!!
   
 4. Jumakidogo

  Jumakidogo R I P

  #4
  Jan 7, 2012
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 1,859
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Lakini wote si wanakuwa wakazi wa eneo husika? Na madhara yanakuwa yaleyale au?
   
 5. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #5
  Jan 7, 2012
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,468
  Likes Received: 4,127
  Trophy Points: 280
  Halafu kuna hili la kulipa kodi ya miezi sita au mwaka nalo halitambuliwi na serikali...nilimsikia mkuu wa mkoa akiongelea hilo na kuwalaumu wapangaji..
   
 6. SOBY

  SOBY JF-Expert Member

  #6
  Jan 7, 2012
  Joined: Sep 19, 2011
  Messages: 1,265
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Inategemea na lease inavyosema. Mpangaji ni lazima alipwe ila kwa Tanzania nadhani landlords huwa hawalazimishwi kuwa na insurance.
   
 7. Jumakidogo

  Jumakidogo R I P

  #7
  Jan 7, 2012
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 1,859
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Kumbe wenye nyumba wanatuingiza mkenge na vimkataba vyao. Ilifaa basi baada ya mafuriko wawaonyeshe wapangaji wao kwa kwenda kukaa.
   
Loading...