Viambata mhuhimu vya kusajilia Vitambulisho vya Kitaifa! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Viambata mhuhimu vya kusajilia Vitambulisho vya Kitaifa!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Yericko Nyerere, Jan 6, 2012.

 1. Yericko Nyerere

  Yericko Nyerere Verified User

  #1
  Jan 6, 2012
  Joined: Dec 22, 2010
  Messages: 16,232
  Likes Received: 3,782
  Trophy Points: 280
  ?

  Ujumbe huu nimeupokea kwenye barua pepe toka kwa mdau anayeshiriki zoezi tajwa hapo juu na haya ni maelezo ambayo nadhani ni vyema kwa sisi wahusika kuyafahamu au kuwafahamisha ndugu, jamaa na ndugu zetu kwingineko. Ikiwa unataka maelezo ya ziada na kujua zoezi linavyoendelea, usisite kuembelea tovuti husika kwa linki:* www.nida.go.tz*

  "Nimeona niwashirikishe katika hili la Maombi ya Utambulisho ambayo zoezi*lake limeanza rasmi. Serikali imeamua kuanza na wafanyakazi wa wizara zake,*mashirika na vyuo, wakianzia Dar es Salaam na Zanzibar halafu waje mikoani. Semina zinatolewa kabla ya kuchukua fomu ili kutuwezesha*kuijaza kwa usahihi. Ningependa tu kuwaweka tayari wenzangu kwa kuwashauri*kuandaa namba za vifuatavyo kwa kadiri mtu unavyoweza:*


  Passport, Liseni ya*udereva

  Namba ya kujiandikisha kupiga kura

  Uanachama wa bima ya afya

  Utambulisho wa mlipa kodi (TIN)

  Uanachama wa mfuko wa jamii

  Cheti cha Elimu ya Sekondari

  Cheti cha Elimu ya Sekondari ya Juu (High school)


  Vitambulisho vya Kitaifa vitakavyotolewa vinategemewa kuwa SMART na kwamba*taarifa zote hizo zitabebwa kwenye hicho kitambulisho, kwa mfano, imetokea umesahau kadi yako ya kupiga kura, badala ya kutokupiga kura kwa kuwa huna kitambulisho cha kupiga kura, basi utaweza kutumia Kitambulisho chako cha Utaifa kwa ajili ya*kupigia kura halali.

  Ni hayo tu kwa leo."*
   
 2. Mzalendo80

  Mzalendo80 JF-Expert Member

  #2
  Jan 6, 2012
  Joined: Oct 30, 2010
  Messages: 2,385
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160
  I cant wait to have mine, vitumike kwenye kuombea Ajira ili kuzuia wageni wasichukue ajira za wazawa
   
 3. Mzalendo80

  Mzalendo80 JF-Expert Member

  #3
  Jan 6, 2012
  Joined: Oct 30, 2010
  Messages: 2,385
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160
  Mkuu kuna kitu sijakielewa hapa inakuwaje Wageni nao wanapewa vitambulisho?
   
 4. Kombo

  Kombo JF-Expert Member

  #4
  Jan 6, 2012
  Joined: Oct 29, 2010
  Messages: 1,819
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Kuna vitambulisho vya Wakimbizi na Vile vya Ukazi (kwa Wageni) ambavyo pia vitatolewa sambamba na Vitambulisho vya Taifa (kwa Watanzania). Lengo ni kuwatambua na kuwatambulisha Watanzania na wasio Watanzania (na hadhi zao wakiwa nchini).
   
 5. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #5
  Jan 6, 2012
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  Tunashukuru kwa hili Kamanda wetu!
   
 6. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #6
  Jan 6, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,427
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  una hakika mkuu? Acha kupotosha watu sikutegemea mtu kama wewe unaweza kuwadanganya watu hapa.kama taarifa huna uhakika nayo ni vema usiiweke.
   
 7. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #7
  Jan 6, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,427
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  si kweli kadanganya huyo?
   
 8. semango

  semango JF-Expert Member

  #8
  Jan 6, 2012
  Joined: Aug 24, 2010
  Messages: 532
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35

  ukweli ni upi sasa?
   
 9. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #9
  Jan 6, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  kama zipi?
   
 10. Ndebile

  Ndebile JF-Expert Member

  #10
  Jan 6, 2012
  Joined: Sep 14, 2011
  Messages: 3,632
  Likes Received: 1,991
  Trophy Points: 280
  tupe taarifa yako ya UKWELI!
   
 11. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #11
  Jan 6, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,427
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  ngoja nipo busy nitawaambia
   
 12. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #12
  Jan 6, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,427
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  Subirini nakuja baada ya lisaa
   
 13. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #13
  Jan 6, 2012
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Yaani unachukua saa nzima ili ku-prove kama JB kasema ukweli au uongo...you must be kiddin me by the way hiyo saa moja i guess ungechukua dakika 10 kusoma website ya NIDA ungeelewa kila kitu..
   
 14. Mkondakaiye

  Mkondakaiye JF-Expert Member

  #14
  Jan 6, 2012
  Joined: Dec 5, 2011
  Messages: 839
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Too late ndugu yangu, kuna wageni wengi wameshajipenyeza serikalini na hao watapewa vitambulisho vya taifa
   
 15. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #15
  Jan 6, 2012
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 688
  Trophy Points: 280
  tehetehe tehe!!!!
   
 16. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #16
  Jan 6, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,427
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  mwenye swali?

   
 17. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #17
  Jan 6, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,427
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  bize bize just wait
   
 18. TANMO

  TANMO JF-Expert Member

  #18
  Jan 6, 2012
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 8,918
  Likes Received: 219
  Trophy Points: 160
  hope umeeleweka, ina maana namba zote kama nnazo nitaziambatanisha? Nafasi itatosha kweli?
   
 19. k

  kwanini tu Member

  #19
  Jan 6, 2012
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 24
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  cheti cha darasa la saba mbona sina ?
   
 20. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #20
  Jan 6, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,427
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  ni fomu tu iyo unajaza ina nafasi
   
Loading...