Viongozi wa Polisi mnatushangaza!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Viongozi wa Polisi mnatushangaza!!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by mataka, Jan 7, 2012.

 1. m

  mataka JF-Expert Member

  #1
  Jan 7, 2012
  Joined: Feb 4, 2011
  Messages: 287
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 45
  Mimi ni mdau wa jeshi la polisi, lakn sisi wananchi 2nachukizwa mno na sera yenu ya Polisi Jamii ambayo imewajengea vitisho askari wenu ktk kukabiliana kikamilifu na waharifu wakorofi. Mfano utakuta mharifu ili adhibitiwe lazima nguvu itumike lakn unakuta askari anaogopa ku2mia nguvu hizo hatimaye askari ndo anaumia kama askari wetu wanavyopoteza maisha hivi sasa. Hivi polisi jamii ktk nchi ambayo watu wake ni CORRUPT & CRIMINAL ORIENTED inawezekana? Mfano unakuta baba anaendesha familia yake na kusomesha watoto kwa kuuza gongo lakn eti askari akija kumkamata aende kama daktari anambembeleza mgonjwa kumchoma sindao! Kweli hapo askari atapona? Acha mambo ya ajabu nyie vigogo mko uko mnaponda raha ilhali watoto wetu wanateketea kwa sera zenu mbovu! Acha askari wenu watumie nguvu pale panapobidi sio askari anauawa uku ana silaha huo ni uaskari gani au ndo wema wa mshumaa? Kwa style hiyo uharifu utawashinda.
   
 2. LEGE

  LEGE JF-Expert Member

  #2
  Jan 7, 2012
  Joined: Oct 14, 2011
  Messages: 4,914
  Likes Received: 5,351
  Trophy Points: 280
  Mafunzo wanayopata wanapata mafunzo ya kutetea maslahi na kufuata amri za mafisadi wa CCM.

  Hawana lolote hao kwanza wache wafe tu kama kuku raia wanao iba kuku,uza gongo na kufanya maandamano ya kudai haki zao huwa wanapigwa na kuuawa na hawa polis vimbora lakin mafisadi waibao mabilion wanawakumbatia.

  Damu za watu wawapigao risasi bila hatia zinawatafuna na kuwamaliza taratibuu
   
 3. mmbangifingi

  mmbangifingi JF-Expert Member

  #3
  Jan 7, 2012
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 2,855
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  hawana uweledi tena, mbeleko yao kuibeba ccm hata katika mambo ya kishenzi ndo inawafanya hivo! ule waraka wa Mwigamba uko wapi?
   
 4. NusuMutu

  NusuMutu JF-Expert Member

  #4
  Jan 7, 2012
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 423
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Jamaa sijui ni polis? Maana amemwaga ushuzi tu hapa ndani. Tatizo si polis jamii,tatizo ni kutotumia akili ktk kufanya kaz.polis nao wamegeuku kuwa wezi(waliovaa unifom).tukio la mbeya,zombe nk ni mfano tosha. Polis wanaiba mpaka vidhibit wanavyovitunza wenyewe.wanachojua ni kuomba rushwa tu.raia hawaridhishwi sana na utendaji wa polis.
   
 5. NusuMutu

  NusuMutu JF-Expert Member

  #5
  Jan 7, 2012
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 423
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Jamaa sijui ni polis? Maana amemwaga ushuzi tu hapa ndani. Tatizo si polis jamii,tatizo ni kutotumia akili ktk kufanya kaz.polis nao wamegeuka kuwa wezi(waliovaa unifom).tukio la mbeya,zombe nk ni mfano tosha. Polis wanaiba mpaka vidhibit wanavyovitunza wenyewe.wanachojua ni kuomba rushwa tu.raia hawaridhishwi sana na utendaji wa polis.
   
 6. Kennedy

  Kennedy JF-Expert Member

  #6
  Jan 7, 2012
  Joined: Dec 28, 2011
  Messages: 11,233
  Likes Received: 2,915
  Trophy Points: 280
  kama wanakunywa gongo,wanavuta bangi wkt hivyo ni vidhibiti unategemea huduma bora,hapo ni sanaa za maonyesho.
   
 7. Kennedy

  Kennedy JF-Expert Member

  #7
  Jan 7, 2012
  Joined: Dec 28, 2011
  Messages: 11,233
  Likes Received: 2,915
  Trophy Points: 280
  Mbeleko yao imetoboka anytime watadondoka,unaa tu kwa kuwatetea magamba
   
 8. Kennedy

  Kennedy JF-Expert Member

  #8
  Jan 7, 2012
  Joined: Dec 28, 2011
  Messages: 11,233
  Likes Received: 2,915
  Trophy Points: 280
  naelekea mitaa ya central,mke wangu bandika ugali mboga naletaa.kufa kufaana,kuriki kufarakana.
   
Loading...