Ni kweli kuwa Tanzania ni nchi ya kidemocrasia?au ya kidikteta? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ni kweli kuwa Tanzania ni nchi ya kidemocrasia?au ya kidikteta?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by nitonye, Jan 6, 2012.

 1. nitonye

  nitonye JF-Expert Member

  #1
  Jan 6, 2012
  Joined: Dec 18, 2011
  Messages: 7,167
  Likes Received: 508
  Trophy Points: 280
  Wakati mwingine huwa najiuliza swali hili lakini sipati majibu. Nimeshuhudia raia wa kiandamana ili kueleza hisia zao juu ya matatizo yanayoendelea lakini wanaishia mikononi mwa jeshi la polisi; nimeshuhudia wanafunzi wa vyuo wakigoma kudai haki zao lakini wanaishia kufukuzwa au kusimamishwa masomo; nimeshuhudia pia kuona uoga uliotanda kwa raia katika kutoa maoni yao waziwazi bila kujificha na mengine mengi ambayo yanamnyima raia wa Tanzania katika kutoa maoni au kulezea hisia zake. Hivi ni kweli Tanzania ni nchi ya kidemokrasia au kikomunist au ya kidikteta?
   
 2. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #2
  Jan 6, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  kidikteta tena zaidi ya ile nchi ambayo inayoongozwa kidikteta...
   
 3. Mkondakaiye

  Mkondakaiye JF-Expert Member

  #3
  Jan 6, 2012
  Joined: Dec 5, 2011
  Messages: 839
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Mbona umeshajijibu kuwa ni nchi ya kidikiteta? ila wanaogopa kutangaza waziwazi wasije kosa misaaada
   
 4. M

  Mthuya JF-Expert Member

  #4
  Jan 6, 2012
  Joined: Jun 9, 2011
  Messages: 1,415
  Likes Received: 65
  Trophy Points: 145
  Ni zaidi ya udictetar na full kukomoana
   
 5. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #5
  Jan 6, 2012
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  Nchi ya Chama cha kinafiki CCM
   
 6. P

  Papaa Dingi Member

  #6
  Jan 7, 2012
  Joined: Dec 14, 2011
  Messages: 7
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ni nchi inayoongozwa na viongozi wasiojiamini waoga na wasiokuwa na sifa za uongozi.! Kilichowaeka madarakini ni masilahi tu thats why wanaogopa kuendesha nchi kidemokrasia.! No democracy in Tanzania.!
   
 7. Timtim

  Timtim JF-Expert Member

  #7
  Jan 7, 2012
  Joined: Feb 9, 2008
  Messages: 603
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 45
  Awamu ya nne Demokrasia zaidi.
   
 8. Mkondakaiye

  Mkondakaiye JF-Expert Member

  #8
  Jan 7, 2012
  Joined: Dec 5, 2011
  Messages: 839
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  fafanua demokrasia unayoimaanisha, isije kuwa umekaririshwa.
   
 9. Tz-guy

  Tz-guy JF-Expert Member

  #9
  Jan 7, 2012
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 439
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Moja ya alama ya demokrasia ni kutoa mawazo/maoni kwa uhuru. Nenda Saudi Arabia au China halafu ukamwambie kiongozi kwamba anafikiri kwa kutumia masaburi, ndio utajua kwamba nchi yetu ina demokrasia au haina. Wasipo kupoteza kimyakimya shukuru.
   
Loading...