Wanasiasa vijana kuweni chachu ya mabadiliko! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wanasiasa vijana kuweni chachu ya mabadiliko!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by D.I.T, Jan 7, 2012.

 1. D

  D.I.T New Member

  #1
  Jan 7, 2012
  Joined: Jan 6, 2012
  Messages: 2
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Vijana ni tumaini pekee na asset kubwa kwa taifa hili linalo ota siku moja litakuwa na wa2 wenye maisha bora na kuwa taifa la kuigwa ulimwenguni.
  Vjana wanasiasa lazima wajihoji kwann wapo kwenye jukwaa la wa2 wanao waujumu wa2 wao ili kulinda maslah yao!
  Tusiingie tu kisa baba kaacha nafasi inabidi izibwe,la zaidi lazima mtafute kwa kiu nn hasa wanacho hitaji hasa waTZ,pia lazima wawe majasiri kusimamia hoja mnazo ziamini zakwel!
  Ikumbukwe leo tunamuenz mwl..na si TANU,kwasababu ya kile alicho kiamini na kukisimamia,taifa alitaongozwa kwa nguv ya kikundi cha wa2 wanao pretend kuwa na hitikadi znazo fanana,hiyo haija tokea bt kama kila m2 atatimiza wajbu wake kwa nafasi yake siku moja ndoto hiyo itatimia.
  Wanasiasa vjana nyuma yenu kunavjana wengi tu waliokatishwa tamaa na siasa za nchi hii na afrika kwa ujumla,so mnakaz ya kuwarudishia imani kwanza then sera zenu na vyama vyenu zitapata watekerezaji.
  Kusimamia kitu usicho kiamini ni utumwa na niheri usinge zaliwa kuliko kuuvaa unafki wa wa2 ukiwa ungali kjana mwenye safari ndefu ya kuifanya jamii iamini wa2 wote ni sawa!
   
Loading...