Kwani lazima tuwe na Rais?

Ozzie

JF-Expert Member
Oct 9, 2007
3,217
1,259
Sisi wananchi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, tunahitaji katiba itakayozuia kuwepo na mtu ajiitaye Rais wa JMT. Bali ndani ya katiba tunahitaji Mfalme au Ceremonial President ili awe anatufungulia matawi ya makampuni yetu.

Historia inaonesha sisi tunaweza kujiongoza wenyewe.
 
let him finish his partying na wewe ukiwa rais utajirusha ka ankoli jk sawa baba...
 
Back
Top Bottom