Tazama tanzania | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tazama tanzania

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by kitalolo, Jan 6, 2012.

 1. kitalolo

  kitalolo JF-Expert Member

  #1
  Jan 6, 2012
  Joined: Dec 4, 2006
  Messages: 1,846
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  tatizo la hii nchi nasikia hata shetani anatuone wivu ndio maana hata wenye akili kawafanya wajinga, huwa najiuliza inamaa watu wote wanaomzunguka muheshimiwa ni wajinga kama yeye au zaidi yake ndio maana wanazidi kumshauri ujinga au? maana nasikia wengi wao ni ma docta (Phd) maprofesa (Au ni maji marefu ?) taifa la watu milioni 40+, rasimali za kutosha, hali nzuri ya hewa, nimeshindwa spelling za ardhi kama ndivyo inavyoandikwa basi tuseme ya kutosha na yenye rutuba, misitu, mafuta , madini (Tanzanite, uranium) and the list goes on, ndio tumekuwa mambumbu kiasi cha kushindwa kutumia vitu hivi kujikwamua?
  matoke yake wakati nchi za wenzetu ambao hawana ardhi na wanapatwa na matatizo ya hali ya hewa kila mara wakilia njaa na sisi tunajiunga nao kulia njaa badala ya kutumia fursa hiyo kuwa matajiri. jamani tungeamua hata kusupply mchicha tu dunia sisi ni mataji na mjue mchicha kwenye nchi kama hii unaweza hata kujiotea wenyewe sasa je tukiamua kulima si itakuwa balaa.

  wazee tujiulize tuna matatizo gani kama taifa. tusiwalaumu viongozi tu nasi wananchi tunafanyaje maana hao viongozi tunaowalaumu sisi ndio tunaoiwaweka madarakani, kama unabisha jiulize ushindi wa kikwete wa awamu ya kwanza je alichakachua au ulikuwa halali, awamu ya pili sina hakika, na je kama ulikuwa halali ni kina nani waliompigia kura ni mashetani au mizimu? je haukuwa mmoja wao? basi tuache kulamika tupige kazi kila mmoja kwa nafasi yake, na kama swa ni kuwa tukipiga kazi tunalipa kodi na kodi hatuoni ikifanyia kitu cha maana zaidi ya kuifisidi basi kama umemwajiri mfanyaka na ukaoona hadeliv kama ulivyotegemnea si una mfire? basi na tuwafire. maana sisi ndio waajiri wao ati? tunamwajiri raisi na tunampa jukumu na dhamana ya kututeulia watu mabogazi viazi.

  TATIZO LA WATANZANIA NI UBINAFSI ULIKITHIRI KILA MTU HATA WEWE UNALALAMIKA UKIWEKWA NDIO HIVYO UNAANZA KUJIANGALI MWENYEWE . JINSI TULIVYO WABINAFSI HATA SIKU TUKIAMBIA TUINGIE MITAA TUNAANZA KUJIFIKRI.

  HAKUNA UADILIFU WALA MUADILIFU ALIYESALIA NA NDICHO KIZAZI KILICHOTENGENEZA KINAENDELEA KUTENGENEZWA.

  SASA TUFANYAJE KAMA TUMEPOTEA NJIA BASI TUISENDELEE KWENDA TUSIKOKUJUA TUSIMAME NA TUFIKIRI NI WAPI TULIPASWA KWENDA NA TUANZE KWENDA KWENYE NJIA SAHII.

  UKISEMA TU NGUVU YA UMMA KUNA WATU WATAANZA KULIA HAPA NA KUKUONA KAMA MWANACHAMA WA CHAMA FLANI CHA KISISA KWA MAONI YANGU NDIO NJIA PEKEE YA KULIKOMBOA TAIFA HILA NA KUTENGENEZA NIDHAMU YA TAIFA, HATA MATAIFA YALIONDELE YANACHANGIA SANA KWA NCHI KAMA ZETU KUWA KAMA TULIVYO MAANA TUKIWA HIVYO KUNA NAMNA WANANUFAIKA, HIVYO TUKIFANYA MAPINDUZI YA KWELI HATA WAO WATATUESHIMU NA HAWATATHUBUTU KUTUCHEZE MAANA WATAJUA KWELI TUNATHUBU NA TUNAWEZA NA TUTAZIDI KUFANYA MAPINDUZI YA KWELI.

  NCHI HII SIO MASKINI BWANA ASIKUDANGANYE MTU YAANI WANATUAMINISHA KWAMBA SISI NI MASKINI ILI WAKITUIBIA TUSIPOONA MAENDELEO YETU TUSEME ccm yaani SISI NI MASKINI, KUANZI SASA KAMATAA USEMI HUU NA AJABU ZAIDI KIONGOZI MKUU WA NCHI ANAZUNGUKA DUNIA NZIMA KUTANGAZA KWAMBA ANATAFUTA WAWEKEZAJI KUJA KUWEKEZA KWENYE NCHI MASKINI HUU NI UPUUZI. ETI NJOONI MUWEKEZE KWENYE MADINI , MAFUTA, KILIMO, URANIUM,MAANA SISI NI MASKINI SANA KIASI KWAMBA HATUHITAJI VITU HIVYO.
   
Loading...