Msaada tafadhari....Namba simu za hawa wafuatao...

zubedayo_mchuzi

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2011
Posts
4,873
Reaction score
1,221
Hbr zenu wana jamvi.
Naombeni namba za simu za hawa wafutao,za kuongea nao moja kwa moja.

DR JAKAYA KIKWETE
Dr ALY Bilali
PM Peter Pinda
Mkurugenzi wa TISS
GENERAL MWAMUNYANGE
 
hbr zenu wana jamvi.
Naombeni namba za simu za hawa wafutao,za kuongea nao moja kwa moja.

Dr jakaya kikwete
dr aly bilali
pm peter pinda
mkurugenzi wa tiss
general mwamunyange

dr jakaya kikwete -0754 777777
 
Nipe contacts zako halafu nitakutafuta ili nikupe.
 
112-Mwamunyange
999-TISS
ukiongea na mwamunyange mwambie bishanga anaomba tenda ya kusaplai ma tomahawk misail nauza bei ya kutupa,na kuna ka drone nauza bei chei,akitaka vi appache helikopta nauza kwa dola mia mia tu kamoja,nightvision,ma eikei47 dola tano tano,fanya fasta tupate hiyo dili kabla wajanja hawajishtukia!
 
:A S 465::juggle: Duh hatari
 
Back
Top Bottom