erb website vipi tena?? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

erb website vipi tena??

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Sizinga, Jan 6, 2012.

 1. Sizinga

  Sizinga JF-Expert Member

  #1
  Jan 6, 2012
  Joined: Oct 30, 2007
  Messages: 7,922
  Likes Received: 454
  Trophy Points: 180
  Hii website ya usajili kwa wahandisi vipi tena??sijajua ni muda gani hili tatizo tangu lianze bt kwa upande wangu ni wiki nzima sasa kila nikiifungua inagoma with an error msg....e bana eeh muishugulikie kwani wengine tupo mikoani na tulishafanya application za kuwa registered, sasa kama majina yameshatoka tutajuaje??coz tukichelewa kuna faini inalipiwa. Au kama kuna mtu ana namba zao za simu aniwekee hapa nitawasiliana nao. Error yenyewe ni hii from erb.go.tz "jtablesession::Store Failed DB function failed with error number 144 Table './erbdb/jos_session' is marked as crashed and last (automatic?) repair failed SQL=INSERT INTO `jos_session` ( `session_id`,`time`,`username`,`gid`,`guest`,`client_id` ) VALUES ( '2efvc4ov0ku9lgs4cubfh7htl4','1325839805','','0','1','0' )"
   
Loading...