Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni; Rais wetu kwa hili HONGERA | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni; Rais wetu kwa hili HONGERA

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Danniair, Jan 6, 2012.

 1. D

  Danniair JF-Expert Member

  #1
  Jan 6, 2012
  Joined: Feb 18, 2011
  Messages: 361
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Natoa hongera kwa rais wetu JK kwa teuzi za hivi karibuni hasa kwa watu hawa Mabalozi Nyanduga, Grace na Naibu katibu Mlawi. Teuzi hizi ni halisi sana kwani zimewapa watumishi wa umma moyo wa kufanya kazi. Tulisha zoea marais kuteua marafiki zao kushika nyazifa mbalimbali na kuwaacha watumishi wenye uzoefu waking'aa macho. Hasa katika U-balozi. Kwa teuzi za wawakilishi hawa nakupa Big-up sana kwani kwa nyazifa zao mpya ni sawa na kumpeleka mtoto wa darasa la pili anayejua kusoma kufundisha darasa la kwanza kusoma. Hongera sana MKUU.
   
Loading...