No more Nyumbani Hotel at Mwanza | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

No more Nyumbani Hotel at Mwanza

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Nyakwaratony, Jan 6, 2012.

 1. N

  Nyakwaratony JF-Expert Member

  #1
  Jan 6, 2012
  Joined: Dec 21, 2011
  Messages: 571
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Kutoka chanzo kilicho rasmi ile Hotel maarufu sana jijini Mwanza iitwayo Nyumbani hotel Resort iliyopo jengo refu kuliko yote jijini Mwanza imefungwa rasmi jana! :shock: Mwenye data zaidi ashuke hapa!
   
 2. L

  LAT JF-Expert Member

  #2
  Jan 6, 2012
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,524
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 0
  nini tena?

  moshi pia ipo
   
 3. H

  Huihui2 JF-Expert Member

  #3
  Jan 6, 2012
  Joined: Jan 5, 2012
  Messages: 395
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  AloIs Kimaro, kwishney
   
 4. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #4
  Jan 6, 2012
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,809
  Likes Received: 85
  Trophy Points: 145
  :A S embarassed::A S embarassed::A S embarassed:.............
   
 5. Twilumba

  Twilumba JF-Expert Member

  #5
  Jan 6, 2012
  Joined: Dec 5, 2010
  Messages: 5,895
  Likes Received: 470
  Trophy Points: 180
  Zinafungwa hotel zao zote au ni hiyo ya mwanza tu, maana wanazo sehemu kadhaa nchini Tanzania na Kenya pia!
   
 6. L

  LAT JF-Expert Member

  #6
  Jan 6, 2012
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,524
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 0
  mkuu

  tujuze sababu za kufungwa kwa hoteli hii ya nyumbani resort
   
 7. saragossa

  saragossa JF-Expert Member

  #7
  Jan 6, 2012
  Joined: Jan 3, 2011
  Messages: 2,107
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 160
  Nimetoka Tanga juzi, kuna Nyumbani Hotel pia. Au kaona mwanza hapalipi?
   
 8. Tusker Bariiiidi

  Tusker Bariiiidi JF-Expert Member

  #8
  Jan 6, 2012
  Joined: Jul 3, 2007
  Messages: 4,619
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Nyumbani Lounge ya Jide je??? Maana haya majina yanalandana...
   
 9. figganigga

  figganigga JF-Expert Member

  #9
  Jan 6, 2012
  Joined: Oct 17, 2010
  Messages: 13,904
  Likes Received: 3,530
  Trophy Points: 280
  nyumbani hotel ndo hotel dr. slaa anafikia anapokuwa kikazi kanda ya ziwa na ndipo alipo patia ajali ya mkono. vipi inawezekana hiyo hali imekaa kisiasa zaidi. ngoja tusubili. Mia
   
 10. v

  valid statement JF-Expert Member

  #10
  Jan 6, 2012
  Joined: Sep 18, 2011
  Messages: 2,732
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Wameipeleka moshi, philips hotel ya zamani imekuwa nyumbani hotel. Mkabala na iliyokuwa moshi(livingstone) hotel.
  Habari ndo iyo.
   
 11. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #11
  Jan 6, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,133
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  Sidhani kama ni kweli. Hiyo ya moshi imekuwepo kwa muda sasa alongside ya tanga na dsm.
  Usishangae ukikuta ni fitna za tfda!
   
 12. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #12
  Jan 6, 2012
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 9,918
  Likes Received: 613
  Trophy Points: 280
  acha fix,hyo ya moshi haina hata mwaka,iko karibu na malindi club.over
   
 13. ThinkPad

  ThinkPad JF-Expert Member

  #13
  Jan 6, 2012
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 1,849
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Labda NSSF ....... wanawadai deni kubwa.
   
Loading...