Wizi kwenye magari sasa unashika kasi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wizi kwenye magari sasa unashika kasi

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by BIG X, Jan 9, 2012.

 1. BIG X

  BIG X JF-Expert Member

  #1
  Jan 9, 2012
  Joined: Nov 4, 2011
  Messages: 777
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Maeneo ya UDSM, Mwenge, mlimani city si salama kabisa. karibu kila siku watu wanalizwa, kama sio kuibiwa kitu ndani ya gari basi wanaiba kifaa cha gari. haijapita wiki jamaa yangu kaibiwa Laptop akiwa amepaki gari pale hospital ya masister.

  maeneo ya chuo kila siku walimu wanalia wizi kwenye magari na hata kuvamiwa majumbani.

  Sasa hivi sasa wanaiba gari kabisa. Juzi wamechukua Escudo pale engineering parking za block A. yani pale mbele kabisa, kuonyesha kwamba wanajiamini kiasi gani.

  Matukio yanazidi, yanajirudia kila siku. hawa askari zetu hawaonekani kama kweli wanawashughulikia vizuri hawa watu, watu wengi wanalalamika kwamba kuna dalili nyingi wanashirikiana nao.

  Tuweni makini tunapokuwa na magari yetu maeneo hayo.
   
 2. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #2
  Jan 9, 2012
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  DUh hii hatari sana
   
 3. Mwakalinga Y. R

  Mwakalinga Y. R Tanzanite Member

  #3
  Jan 9, 2012
  Joined: Oct 22, 2008
  Messages: 2,718
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 145
  kweli hiini hatari sana..
   
 4. MKUNGA

  MKUNGA JF-Expert Member

  #4
  Jan 9, 2012
  Joined: Dec 10, 2009
  Messages: 443
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Pale UDSM wangeanzisha mtindo wa kupewa card unapoingia getini na kuicha exit gate huenda ikasaidia. Tatizo lingine ni kwamba UDSM imekuwa njia sasa hususan asubuhi na jioni watu wanatumia sana njia ya Msewe-Chuo-Mwenge na kuwapa kazi ya ziada wale auxiliary police wetu. Vile vile kuna haja ya kuangalia upya mfumo wa ulinzi hasa katika makampuni binafsi.
   
 5. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #5
  Jan 9, 2012
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,448
  Likes Received: 5,700
  Trophy Points: 280
  big x
  naomba nikupe angalizo pamoja na kwamba unacheza kwa furaha kwenye avator yako
  CHOCHOTE UNUNUACHO UJUE UNAWAWWEKEA HAOA JAMAA KAMA WATAKUKOSA WEWE BASI IKIFIKA WATAMWIBIA MKEO
  SASA KUKUPA UWE NA AMANI UKINUNUA HAYO MAGARI WALA USIUMIZE KICHWA PAKI NYUMBAN NENDA NA BASI KITUO KINAITWA MLIMANI CITY UKISHUKA KUSHOTO KUNA JAMAA WANAVUSHA UPANDE WA PILI KWA SH 300 KAMA UKO NA FAMILIA INASAIDIA ELSE
  SIKILIZA WIMBO WA KWETU NI PAZURI WA DADA ZETU WA SABATO KIGALI
   
 6. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #6
  Jan 9, 2012
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  Ukipaki GX100 Mlimani city ukilikuta shukuru Mungu.
   
 7. C

  Concrete JF-Expert Member

  #7
  Jan 9, 2012
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 3,607
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 0
  Msaada jamani! Nawezaje kuanzisha thread humu JF,kumbuka natumia simu ya mkononi.
   
 8. O

  Otorong'ong'o JF-Expert Member

  #8
  Jan 9, 2012
  Joined: Aug 17, 2011
  Messages: 31,137
  Likes Received: 10,495
  Trophy Points: 280
  askari wetu wanajuaga tu kuwapiga kwa mabom ya machozi waandamanaji na wanafunzi wa vyuo wanao tetea haki zao.
   
 9. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #9
  Jan 9, 2012
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,448
  Likes Received: 5,700
  Trophy Points: 280
  Ndibalema
  hata saloon yako ya 1989 awaiachi huu ni system moja wapo ya kuondoa foleni barabarani kumekuwa na magari mengi we baba anakuja mlimani city na gx 100 mama anakuja na rav 4 sasa ukiangalia awa watu wawili asbh na jioni wametutesa sana sana mpake kufika hapo mlimani city so mi naona haka ka project kasitulie kawwe muendelezo mpaka watu watakapoheshimu magari ...m nina jiran mkewe anatoka 0600am mumewe 0625 kilasiku na siku nyingine unatoka mchna unakuta dreva anaenda kuchukua majani na pickup sasa ujiulize haya yote yanaenda mjini tutafika leo?????ingawa nawapa pole walioibiwa
   
 10. RealMan

  RealMan JF-Expert Member

  #10
  Jan 9, 2012
  Joined: Nov 9, 2010
  Messages: 2,352
  Likes Received: 160
  Trophy Points: 160

  Kaka kama ulikuwepo!
  Sept 2011 walikunywa kaGx 100 kangu pale New World Cinema. Polisi longolongo tu usipokuwa makini wanaishia kula vijisenti vyako.
  Muhimu ni kuwa na bima kubwa ili hata likitokea maumivu yasiwe makali
   
 11. BIG X

  BIG X JF-Expert Member

  #11
  Jan 9, 2012
  Joined: Nov 4, 2011
  Messages: 777
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Wakuu unapoibiwa kitu ambacho umekipata kwa jasho sana inauma sana. Imagine umepaki gari lako unaingia kwenye shughuli zako unatoka baada ya lisaa limoja unakuta gari hakuna. Na inauma zaidi unapoambiwa na kuhisi kwa namna moja au nyingine askari zetu wanashirikiana nao.
   
 12. BIG X

  BIG X JF-Expert Member

  #12
  Jan 9, 2012
  Joined: Nov 4, 2011
  Messages: 777
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Sichezi kwa furaha... nacheza kwa huzuni kabisa.
   
 13. Rejao

  Rejao JF-Expert Member

  #13
  Jan 9, 2012
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 9,239
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Isurance ya maana na Car Track ndicho cha muhimu. Mimi walishaniliza sana, but sasa hiv nimejizatiti vilivyo.
   
 14. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #14
  Jan 9, 2012
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,448
  Likes Received: 5,700
  Trophy Points: 280
  MPWA WACHA HAWA WEZI WATUAMBIE UMEFURAHI HAPO AMA WASUBIRI KUJA KUCHUKUA LINGINE
  KWELI INAUMA MPWA ASIKWAMBIE MTU LAKINI ANIKUULIZE SWALI LIPI LINAUMA ZAIDI KUMFUMANIA MKEO NA JAMAA AMBAE UJUI SAIZI YAKE NA AMEPITA KWA SPEED GANI AMA HII YA KUSAHAU GX NA KUWA NA UHAKIKA MPAKA UNA KUFA KUPANDA BASI POPOTE UENDAKO [​IMG]
   
 15. C

  CHIPANJE JF-Expert Member

  #15
  Jan 9, 2012
  Joined: May 1, 2011
  Messages: 313
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Inawezekana kwel wakawa wanashirikiana lakin pia siku zote mwz hua anakua na maarifa ya ziada.Pole kwa wote walokumbwa na matatzo.
   
 16. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #16
  Jan 9, 2012
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,448
  Likes Received: 5,700
  Trophy Points: 280
  tujuze ililipataje mpwa
  2002 jamaa yetu aaliibiwa gari pale kinondon akakimbilia kituo cha polisi osterbay..tukakutana kama wsatu 7 mmoja wapo mtoto wa aliekuwa na cheo cha kova...akatushauri aingie ndan na jamaa alipotoka jamaa akatumbia zile landrover 3 zoko fit kuhangaika ila tuna laki tano,500,000 live..tukawahahakikishia wakaomba kila mmoja tuingie kwenye defender wapwa ...walikuwa wanaita kwenye redio gari yangu ikapita moroco kwenda sinza na wengine wakala morocco wengine wakapitiliza mwenge wakiwa bamaga jamaa mmoja akadai imepita kwa mogole kama ni hiyo ikiwa speed kubwa....jamaa wakaanza kuambiana washenzi hao huyo atakuwa mapesa mwenzake tena mwanamke akadai akuna wakina black ninja hao wahuni wa magomeni ...tuko kijiweni kijitonyama polisi wanaita wanaliona gari limepaki kwenyemtaro ..wapwa tulifika tukakuta kama wamepakijamaa alikuwa na laki tatu tukapita na defender pale makumbusho atm crdb ungeona kama wanamsubiri afande kova we acha tukaambiwa sisi tubaki mwenzetu atakuja na gari na yule mwingine
  kazi ikaisha
  hope mlioibiwa msipobana mtapata gari znu ila kuweni makini na maafande wa central wezi sana wanadanganya wana uwezo wa kulipata utamtafuta mamako mzazi na hela wamaweka kwenye ass
   
 17. figganigga

  figganigga JF-Expert Member

  #17
  Jan 10, 2012
  Joined: Oct 17, 2010
  Messages: 14,975
  Likes Received: 6,612
  Trophy Points: 280
  thubutu kukutwa umeandika 100, utalipiwa kifurushi chako. Mia
   
 18. figganigga

  figganigga JF-Expert Member

  #18
  Jan 10, 2012
  Joined: Oct 17, 2010
  Messages: 14,975
  Likes Received: 6,612
  Trophy Points: 280
  Mimi nafikiri hata hawa polisi watakuwa wanahusika. tuliibiwa gari pale udsm tukaja kuipata sinza tena kwa kutoa hela. kidogo ipelekwe mkoa. ukienda kutoa taarifa polisi utazungushwa hadi uchoke. mara utasikia leta hela ya mafuta mara hii kazi ni nzito. but kuna watu fulani wanao fahamika pale sinza. kwahiyo gari yako ikiibiwa maeneo hayo unaelewana nao hela.wanaitafuta halafu wanakuelekeza uende kuichukua sehemu fulani labda stand au bar, na gari unaikuta. kwanini polisi wasidili na hao watu?. Mia
   
 19. Ng`wanakidiku

  Ng`wanakidiku JF-Expert Member

  #19
  Jan 10, 2012
  Joined: Apr 18, 2009
  Messages: 1,196
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Du mkuu haya maneno ya kweli? Maana mie nilizoea kupaki GX100 yangu zamani kidogo na kuingia kufanya shopping mlimani city kwa muda, duh kama imefikia hiyo hali basi noma sana.
   
 20. Lukansola

  Lukansola JF-Expert Member

  #20
  Jan 10, 2012
  Joined: Sep 5, 2010
  Messages: 5,456
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  1. Make sure you are signed in
  2. Click 'home' juu kushoto mwa page yako
  3. Itakuja list ya forums za jf
  4. Click forum unayotaka kuanzishia thread mf. Jukwaa la siasa
  5 juu kulia utaona kitufe cha 'New Post' click hapo and the rest is just as simple as taking a glass of milk.
   
Loading...